Wawekezaji wanaokwepa kodi kwa kubadilisha majina ya kampuni zao dawa ni nini?

kituro

Senior Member
Dec 25, 2010
176
15
Ndugu katika JF,

Mimi kama raia wa nchi hii huwa najiuliza nini kifanyike ili kuwabana wanaokwepa kodi kwa kubadilisha majina mara kwa mara kama vile airtel tigo, etc.

Naomba michango yeno wana JF!
 
Sheraton Dar-Royal Palms-......sasa ni Movenpick....wajinga ndio tuliwao!!
 
WAnaubia na viongozi wetu hivyo hawawezi kufanywa chochote. sisi yetu machoooo, tuombe mungu viongozi wetu wafe tuanze moja
 
Ndugu katika JF,

Mimi kama raia wa nchi hii huwa najiuliza nini kifanyike ili kuwabana wanaokwepa kodi kwa kubadilisha majina mara kwa mara kama vile airtel tigo, etc.

Naomba michango yeno wana JF!

unauhakika walibadili majina ili kukwepa kodi au ni mtu mwingine alinunua?. Tupe evidence juu ya hilo: no research, no right to speak.
 
Nijuavyo mimi Tigo haijawahi kubadilisha jina yenyewe siku zote inaitwa MIC (T) Ltd. Buzz, Mobitel, Tigo hayo ni majina ya kibiashara tu.
 
Ndugu katika JF,

Mimi kama raia wa nchi hii huwa najiuliza nini kifanyike ili kuwabana wanaokwepa kodi kwa kubadilisha majina mara kwa mara kama vile airtel tigo, etc.

Naomba michango yeno wana JF!

Nakupongeza kwa kuliona hilo endelea na moyo wa uzalendo.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom