Wawekezaji huwa wanapimwa UKIMWI wanapoingia nchini?

KATIZAJI

Member
Oct 11, 2007
58
5
Kuna habari kutoka Namtumbo, Ruvuma kwamaba kaburu kwa kushirikiana na kuwadi mmoja mwenyeji wamemrubuni binti mmoja na kumbaka na kumlawiti. Binti ameambukizwa UKIMWI na ni mjamzito sasa hivi! Hii imekaaje wanaJF?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom