Wawakilishi CUF pamoja na Mawaziri wa CUF watoka nje ya ukumbi wa bunge

Olaigwanani lang

JF-Expert Member
Apr 26, 2012
541
175
Leo asubui kabla ya kikao cha baraza la wawakilishi kuanza spika wa baraza la wawakilishi,bw.kificho alitangaza kazi ya kwanza ni kumwapisha mwakilishi wa jimbo la bububu,ndipo wajumbe wote pamoja na mawaziri wa upinzani kupitia cuf wakatoka nje kwa kile kinachosemekana kupinga matokeo ya jimbo la bububu....
 
full ma-drama! hebu waongelee NSSF yetu waachane na propaganda zao!
 
Safi sana Cuf nasisi mlitakiwa kutuunga mkono kuhusu kupinga matokeo ya jk!

Kweli cuf ametoka nje na wasiwe wana beza wenzao wakitoka nje!
 
Kumbe BLW lenyewe sio la umoja wa kitaifa. CCM na CUF kule Zanzibar ni kama mapacha walioungana vichwani tu!
 
CUF ndio waalimu wa siasa za Tanzania mambo yote ya chadema kutoka katika vikao wanaiga CUF tofauti CUF wakisusia vikao huwa hawachukui posho, CHADEMA huwa wanavuta mkwanja.
 
CUF bana wamejitathmini wakaona wanapoenda sio, washaanza kujirudi sasa, CUF ilikuwa ngangari sana zamani sijui nini kiliwakumba watu hawa. Nimewahi kuongea na HAMAD RASHID MOHHAMED kwa kweli kama ni uchungu wa kuwa upinzani basi kiongozi huyu aliupata, historia ya upinzani haimuachi kando hata kama CUF inapoteza muelekeo kwa sasa. 4 years in Rumande with no charges at the Coart.
 
Hivi hao wabunge wa 'baraza la wawakilishi', wanaongeaga nini huko? Je, hili bunge la 'bi kiroboto', liko juu ya hili baraza la kina Jussa???
 
Back
Top Bottom