Wavuta sigara na wanywa pombe saivi matumbo joto

Speaker

JF-Expert Member
Aug 12, 2010
6,324
2,238
Bajeti hii tena sijui wataongeza bei?
mh,natamani bia moja iwe 5000/= na sigara iwe 3000/= :majani7:

Tungoje
 
haina tatizo.... a succeful is the one who can earn more that what he spends....

makalkyulesheni yatabalansi tu!!
 
bei ya unga/misuba ishuke ili Maaskofu wakose biashara yenye hela za kumwaga
 
Speaker nakuheshimu sana plz.

Hahaaaa, mkuu nahisi unatamani kumbembea masikio yake.....

Speaker i wish to join you a hand, hawa jamaa wanachangia budget kwa kiasi kikubwa sasa huo mkakati wako si unaweza kuleta distortion ya marikiti na mapato kupungua kwa kiasi kikubwa? maana watahamia kwenye zile ambazo hazitozwi kodi....hahahaaa
 
Awapi,hata bia ifike elfu 20 nakwambia watu wata kunywa tu,...
inapokuja kwenye vilevi sijui hua wanaficha wapi akili zao!
Mwaka jana nilidhani wavuta sigara watapungua lakini wapi,...

sasa wapandishiwe mara 300 ili tupate kodi kwa wingi,
trust me,wata kunywa na kuvuta tu,...
wanapenda kujiua si mchezo
 
Bajeti hii tena sijui wataongeza bei?
mh,natamani bia moja iwe 5000/= na sigara iwe 3000/= :majani7:

Tungoje

Kwa nini serikali inawafanyia hivi watu wake ambao inajua kabisa hawataacha ila maisha yao na familia zao yatakuwa magumu kwa kuongezewa bajeti ya pombe na sigara. Wengine hizo zilishakuwa sehemu ya basic needs. Hii ni economic cycle kwani ugumu wa maisha utaongezeka upande mwingine na kuwa nafuu kwa wengine. Mimi si mnywaji wala mvutaji lakini naona serikali haiwatendei haki bali kuwaongezea umasikini tu kitu ambacho ni tofauti ni jitihada za maisha bora kwa kila mtanzania. Kupanga ni kuchangua. Kama mtu ameamua kuishi kwa kunywa na kuvuta aachwe kama aliyeamua kuishi kwa kuiba muziki.
 
Awapi,hata bia ifike elfu 20 nakwambia watu wata kunywa tu,...
inapokuja kwenye vilevi sijui hua wanaficha wapi akili zao!
Mwaka jana nilidhani wavuta sigara watapungua lakini wapi,...

sasa wapandishiwe mara 300 ili tupate kodi kwa wingi,
trust me,wata kunywa na kuvuta tu,...
wanapenda kujiua si mchezo

Nimekubali mkuu.....but hii itakuwa safi maana itaipa bia heshima yake sio kunywewa na kila mtu tu na matokeo yake kutusumbua mitaani wakati "wameonja"

Kinachonitisha itakuwa ni bia 1 na "Viroba" v-3 ili kufikia "kileleni" mapema.....matatizo haya tena
 
mh,kwamba ni bia ni elfu5 tayari?
okey,then iwe 10,000/= basi

mkuu acha utani bana kwnye issue serious, lakini sishangai maana kuna pombe inatengenezwa kwa miwa pande za lushoto maarufu kama BOHA, ni nzuri kushinda bia, na chupa moja 200/= tu.
 
Rasmi siku hiyo naanza kuvuta Bangi.

Usufanye hivo bana,kama sigara tu zime kufanya ujitoboe uso mzima
bange si uta jichija?
avatar38074_1.gif

We isikie tu bange,si mchezo
 
Back
Top Bottom