Wavuta bangi watatu

flintsky

JF-Expert Member
Aug 14, 2016
654
744
Wavuta bangi watatu wamevunja duka la dhahabu ili waibe,

Mmoja kachukua dhahabu,
Wa pili kachukua pesa,
Wa tatu kakaa dukani,

Mwenye duka kaja na polisi kufungua mlango wakamkuta jamaa kakaa mguu juu ya mguu

Akaulizwa: kwa nini hukutoroka kama wenzako..??

Kajibu: Sisi tulikuwa watatu:-
Mmoja kachukua dhahabu,
Mwingine pesa na mm nimechukua duka

Hahahahahahaaa

 

Similar Discussions

Back
Top Bottom