Wavua Gamba wanapita walipo poteza majimbo

ajabu

Member
Jul 14, 2011
38
3
Wavua magamba wanapita sehemu zote hasa ccm ilipo poteza majimbo hasa wakati huu ambao wabunge wapo mjengoni ili kutengeneza mazingira yakuponda wabunge walio pita kwenye uchaguzi kwa tiketi ya upinzani na wao wajioshe na kulaghai wananchi wawachague msimu ujao na hii ndio kazi anayo ifanya bwana Nape Nnauye na timu yake,na zaidi anaogea uongo mwingi saaaana mfano kaenda kilwa na kusema mbunge wa kilwa ananunua ufuta, huu ni uongo mkubwa sana Tanzania amka mwambie na mwingine ili zoezi lao lifikie kwenye kkufa kabisa
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom