Wauza Mbao kutoka Msumbiji

Edylux

Member
Mar 30, 2009
48
9
Salaams wana JF,

Tafadhalini sana, naomba ambaye ana contact za wauza mbao wa Msumbiji,
au wa TZ wanao import mbao kutoka Msumbiji, anipatie.

Nahitaji Mahogany, Afrormosia, Mninga, Panga panga na Teak (mtiki) :

Size; (1" - 4") x (10" - 12") x (8' - 10').
unene; upana; urefu.

Kwa kuanzia nahitaji cubic meter 20 za kila aina.

Naomba bei hadi kiwandani/bandarini Dar kwa cubic meter au kwa ubao, na utaratibu wa malipo.

Ahsanteni,
Edylux
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom