Wauza kitimoto nao kugoma;kisa kukosa wateja

Pdidy

JF-Expert Member
Nov 22, 2007
50,956
22,148
Wakati tukihangaika na shida ya mafuta jumuiya ya wauza kitimoto nayo yatarajia
kugoma kuuza kitimoto kisa kukosa wateja..wakizungumza kwa masikitiko wamesema
tangu aug1 wamekuwa kwenye hasara na hivyo awawezi kufanya kazi kwa hasara bora
wasubiri waanze sept..mwenyektii wa jumuiya hiyo mzee anael lyimo amesema tunatarajia kuanzia jumatatu
kuanza mgomo mpaka hali itakapotengemaa nanukuu

hata hivyo mgomo huo utahusisha kwa mwezi mmoja tu na kujaribu tena biashara mwezi wa sept
polen wahusika lakini naona hamtotutendea haki kwa hili kabisa kabsa
 
Nina shaka na huu mgomo wa mwezi huu mmoja. Ila walakini upo. "Wasalaam E,,,,,,,,,um!! NIMEPITA TU! Tuwasubiri wenyewe watapita.
 
Mzee Lyimo nae si atoe masaa 24 serikali iwarudishe wateja au ione chamtemakuni hahaha!

aisee wazo zuri sana sana ila nafikiri ataogopa wale wakikomaa wale jamaa wa Machine za ED nnini tena wanawezawajia Gafla na kujuta
 
Matoto ya sunday school kazini! Kweli hawa jamaa wana mawazo ya kuikomboa nchi hii!
 
Back
Top Bottom