Wauza Jezi waja kivingine

Amavubi

JF-Expert Member
Dec 9, 2010
30,142
13,216
Natafakari vyanzo mbalimbali ambavyo ikiwa vilabu vyetu vitavitumia vizuri huenda vikaondokana na ombaomba, Klabu ya Simba ilitangaza kukamata mtu yeyote anayeuza jezi za timu hiyo bila ya kibali cha timu, hali kadhalika na Yanga nao......baada ya mkwala huu wauza jezi wameamua kutengeneza jezi za timu zenye ragi zinazolandana na timu hizo mbili lakini wameamua kutoweka nembo....aidha hata jezi mpya za msimu huu za simba tayari zimeshachakachuliwa (feki) tofauti na zile zilizoagiwa Ulaya, na bei utana ni poa, siku moja mbele yangu pale uwanjani nilimuita kiongozi wa juu wa timu hiyo na kumuonesha na yeye akaangalia tu bila kuchukua hatua yoyote hali inayoashiria kwamba huenda ana hisa humo...
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom