Pilato2006
Senior Member
- Aug 25, 2008
- 124
- 35
Nitapita na mimi nikanunue moja ya kibongo. Ipi nzuri? Wanaanza kuuza mida gani?
Nitapita na mimi nikanunue moja ya kibongo. Ipi nzuri? Wanaanza kuuza mida gani?
Samahani hizo aliyokuonyesha hamna ya kibongo
mpya?
Samahani hizo aliyokuonyesha hamna ya kibongo
mpya?
Jana nilikuwa na jamaa zangu naheshimiana nao sana, tunaelekea Kibaha kupitia Morogoro road, kushoto kwangu alikaa mama mtu mzima, ndugu yangu.
Wakati tusubiria foleni iruhusu,wale wamachinga kama kawaida yao, huyu kaja na hiki mara kile.
Balaa lilikuja pale alipokuja muuza CD za filamu mbalimbali na miziki. Nilipo mkatalia, alinionyesha filamu ya ngono! huku akiigiza kuficha watu wasione, lakini yule manam aliiona, kwani niliona attitude yake imebadilika kabisa.
Story zilizokuwa zikiendelea ndani ya gari zilizimika.
Watu waliingiwa kichefu chefu kwa walichokiona.
MAMLAKA HUSIKA HEBU FANYIENI KAZI HILI.
Ukiona mtu anashobokea kuangalia picha za ngono, ujue hana jipya na wala siyo creative! Ngono ni sanaa kama sanaa nyingine na hazina copy and paste. Unachotakiwa utoe kutoka kichwani kwako!
Mema kipetuBila samahani unataka aliyecheza nani?