waungwana nielekezen jins ya kuifanya Black berry messanger(BBM) itumie bundle ya kawaida?

May 8, 2012
13
5
waungwana... kulipia huduma ya internet ktk bb kwa sisi wengine ni mtihan so kama kuna muungwana anaejua jins ya kuifanya itumie internet km cmu nyingine nielekezen..
 
waungwana... kulipia huduma ya internet ktk bb kwa sisi wengine ni mtihan so kama kuna muungwana anaejua jins ya kuifanya itumie internet km cmu nyingine nielekezen..

Hapo utasubiri sana, the only way ni kulipia bis

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Nakushauri iuze tu kama malipo yake huyamudu, welcome to analog phones mkuu
 
waungwana... kulipia huduma ya internet ktk bb kwa sisi wengine ni mtihan so kama kuna muungwana anaejua jins ya kuifanya itumie internet km cmu nyingine nielekezen..

Hahahaa daah hapo utasubiri saana mkuu hamnaga other ways RIM hapo kazi walioifanya hakuna anayeingiza mguu
 
RIM BBM wameiprotect ile mbaya,ata mamlaka za mawasiliano za nchi mbalimbali wamesalimu amri kuhack,mwaka juzi Eltsalat walitengeneza software ya kuhack chart za BBM waliambulia za uso mbaya! Nnakushauri wewe jiunge na BIS tu Voda wameshusha sasa ni 20 elfu kwa mwezi kuhack sahau
 
mimi natumia bold 9700.....sijawahi kuthubutu kujiunga na BIS ila browser yaangu ya simu ilikuwa inafungua net kama kawaida na nilikuwa na download applications na zinafanya kama kawaida
 
Back
Top Bottom