waungwana naombeni kujua huyu aliyejaza hii HATI YA USHINDI wa CDM amemaliza darasa la saba

hizi ni hati za watu waliopita mido skul brother... yani hapo kajipinda hadi nukta ya mwisho. btw bravo ndugu msimamizi kwa kujitoa muhanga kesho tutasikia umehamashiwa liwale mzee..
 
haijarishi hata wakati anasoma matokeo alikosea mara tatu kamanda Lema Akanyosha mstari
 
Angalia content mwandiko utakusaidia nini mkuu?

Imesomeka haikusomeka?
 
Wewe shida yako ni Rangi ya Paka,
Au yule anaejua kuwinda?????
Kama inasomeka tatizo liko wapi???
Wacha tusheherekee zetu ushindi sisi!!!
 
Hahaah jamani badala ya kuangalia muandiko wa "mkurugenzi" ni bora kumpongeza, kimtindo ameonesha ushujaa kwa kuopingana na nguvu ya pesa iliyokuwa inamshinikiza!
 
Mwandiko ni safi sana. Wa watu wa zamani, aghalabu ni wa mtu anatumia kinywaji kwa hiyo mikono imeanza kutetemeka kidogo. But who cares ???
 
waungwana ukiitizama hii hati ya ushindi aliyopewa ndugu yetu mbunge mteule wa arumeru mbona huu mwandiko ni kama wa mtoto wa chekechea au ndio mkono ulikuwa unatetemeka sana kwa kutojiamini na kila anachokiandika View attachment 50796View attachment 50796

Hata hivyo kajitahidi hakuna kitu kigumu kama kufanya kitu ambacho lazima kitakuwa na Impact ya kufukuzwa kazi au kuhamishwa kituo cha kazi
 
  • Thanks
Reactions: 3D.
Mbona mwandiko uko poa sana. Hujaona miandiko ya Maprofesa wewe! Mwandiko wa kisomi kabisa huo, au labda hatujakuelewa
 
Nimeshaelewa. Kumbe ni Magamba wanajaribu kutafuta sababu ya kukata rufaa.
 
Back
Top Bottom