Waungwana najua mtajisikia vibaya kuona picha hizi napenda niulize hivi?

ningependa kujua sheria hii ya binadamu kugonga treni na kuilipa ipo dunia nzima? Ukweli inasikitisha sana maiti inapozuiwa kulipa kwanza ghalama za kugongwa kwa treni ndipo waruhusiwe kuzika. Ubinadamu upo wapi katika hili?

Tafadhali ndugu, ajali hii imetokea wapi, lini, na marehemu ni nani. **** sehemu umeishajibu ni nani marehemu kwa hiyo hilo najua limejibiwa. Tafadhali nipe taarifa inayopungua!.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom