Waungwana Fumbo hili nisaidieni Jibu

Inkoskaz

JF-Expert Member
Nov 6, 2010
6,372
2,374
Ni nani atasaidia barabara zetu zidumu zisiharibike mara kwa mara
Ni nani atasafirisha mizigo mingi kwa wakati mfupi na kwa usalama zaidi
Ni nani atatusaidia kupunguza ajali za barabarani
Ni naniatatusaidia kupunguza msongamano wa magari na mizigo katika bandari zetu
Ni nani atatusaidia kupunguza gharama za usafiri kwa wananchi wa kipato cha kawaida
Ni nani atasaidia kuongeza mapato ya nchi katika nyanja ya usafiri?
Kama muungwana huyu yupo na anahitaji support kwanini asipewe kipaumbele atusaidie?Je ni nani huyu waungwana?na tumsaidiaje..??
 
Hawa ndugu wawilo tulio nao wakipumulia mashine tukiwapa msukumo na msaada wa karibu hatutafanikiwa kweli?
Ni ajabu kuota ndoto za mchana za kujenga reli mpya wakati zilizopo hata kuzipalilia majani tumeshindwa!
Ni ndoto pia kujenga bandari nyingine wakati hizi bandari kuu tatu za Dar,Tanga na Mtwara tunazifumbia macho upanuzi wake
 
atakae weza yote ni chama makini kuingia madarakani.....tukiweza kumuondoa nduli CCM yote yanawezekana.....
Chama cha Demokrasia na Maendeleo.....ndio suluhisho......
 
atakae weza yote ni chama makini kuingia madarakani.....tukiweza kumuondoa nduli CCM yote yanawezekana.....
Chama cha Demokrasia na Maendeleo.....ndio suluhisho......
Bila kusahau KATIBA makini
 
Bila kusahau KATIBA makini

Katiba iliyotungwa na informed and empowered wananchi ndio jibu! Haiwezekani nchi kuongozwa na utashi wa mtu anavyoamka. Mtu hata hamwogopi Mungu, anaapa kuongoza kwa kushika kitabu kitakatifu lakini anayofanya ni madudu na siku ya Ibada ndio wa kwanza kwenye madhabahu! Tutunge katiba mpya mwananchi ajue katiba ndio maisha yake ya kila siku na hivyo ahakikishe inazingatiwa, hakuna atakayechezewa!
 
Back
Top Bottom