Waunguja wawabagua Wapemba

Ninahakika huu ni uzushi kuhusu vipeperushi hivyo. Na hakika hawawezi kufanya vitu kama hivyo kwani hoja yao kuu ni HAWATAKI MUUNGANO, hivyo hata kama hao wahuni wapo ni pandikizo la serikali baadhi yao wasiotaka MUUNGANO uvunjie sababu wanafaida zao wanazijua. Ni kweli dhambi ya ubaguzi mbaya lakini waachieni wenyewe MTOTO AKILILIA WEMBE MPATIE! Naaamini hata KUCHOMWA KWA MAKANISA NI PANDIKIZI TU YA KUCHAFULIWA KWA WATU WA UAMSHO LAKINI NA HAKIKA HAWA WATU WAPO MAKINI NA NAWAOMBEA KWA M/MUNGU AWAPE UTULIVU NA UMAKINI KUENEZA ELIMU YA URAIA ILI WAJITAMBUE NA WAACHANE NA MUUNGANO. Mambo yakiwa mabaya tutafanya mkakati wa kuwapokea tena TUNAWABARIKI UAMSHO Endelezeni mapambano dhidi ya WABABAISHAJI NA WEZI WA FIKRA NA HAKI ZA BINADAMU.
 
Ninahakika huu ni uzushi kuhusu vipeperushi hivyo. Na hakika hawawezi kufanya vitu kama hivyo kwani hoja yao kuu ni HAWATAKI MUUNGANO, hivyo hata kama hao wahuni wapo ni pandikizo la serikali baadhi yao wasiotaka MUUNGANO uvunjie sababu wanafaida zao wanazijua. Ni kweli dhambi ya ubaguzi mbaya lakini waachieni wenyewe MTOTO AKILILIA WEMBE MPATIE! Naaamini hata KUCHOMWA KWA MAKANISA NI PANDIKIZI TU YA KUCHAFULIWA KWA WATU WA UAMSHO LAKINI NA HAKIKA HAWA WATU WAPO MAKINI NA NAWAOMBEA KWA M/MUNGU AWAPE UTULIVU NA UMAKINI KUENEZA ELIMU YA URAIA ILI WAJITAMBUE NA WAACHANE NA MUUNGANO. Mambo yakiwa mabaya tutafanya mkakati wa kuwapokea tena TUNAWABARIKI UAMSHO Endelezeni mapambano dhidi ya WABABAISHAJI NA WEZI WA FIKRA NA HAKI ZA BINADAMU.
 
Vipeperushi vya watawala wetu waliochoka. Sidhani kama kuna GT anaweza ingizwa mkenge na vipeperushi vya kijinga kama hiki...
Hicho kipeperushi mbona kama kimeandikwa na mtu ambaye shule ilikua kituo cha polisi, halafu imejaa gadhabu mno!
 
Hawa sasa wangetafuta vya kuchoma na wao.. Kuandika vipeperushi haitoshi..
 
warudi na maghorofa yao kkoo watamwachia ni ngumu kama ilivyo kwa wenzao kule wameoa na kuolewa huko na kuishi huko maisha yao yote
 
ukweli ni kwamba wazenj wapo very predictable ,mwaswali namajibu yao pia.Ila iantokana systematic brainwashing na systematic programming of the lifestyle and education km walivyotumika wasomi wa bara na visiwani ktk suala la historia na hao wanojiita maprofessor, father, intellectuals etc ambao nawapinga sana.
 
safi sana maana haiingiii akilini wabara wafukuzwe pembe ili hali wapemba wapo kibao huku bara
Ndugu yangu hiyo chuki inayoenezwa na hao wapemba wa uamsho ndiyo hivyo, hao wabara wanavyosemwa huko zanzibar utafikiri huku bara hakuna wazanzibari. Mi nashangaa sana, kariakoo imejaa wapemba, temeke imejaa wapemba, namanga wapemba, kinondoni wapemba, ilala wapemba, morogoro wapemba, wapemba wako maeneo yote huku. Nenda tegeta maduka ya mbao, cement n.k. wapemba au wanafikiri muungano ukivunjika tutawaachia waendelee kukaa huku halafu wao watutimue kwao?
 
Nimepita!


Mimi nakiangalia kipeperushi hicho kwa jicho jengine kabisa.

1)Hapa inawezekana wazenji wameamua kuwapoza wabara na hasira zao kwa yaliotekea ili waone wanawapenda.

2) Wazanji wanawatega Wabara ili wawaone furaha yao pale Wazanzibari wakitengana kumbe Watanganyika wanafurahia hilo watu ambao wanawaita ndugu zao.

Hapa inadhihirika wazi kua watanganyika hawawatakii mema wazanzibari kama Uamsho wanavyo sema ndio kusema Muungano upo ili kuidhoofisha Zanzibar na hili ndio haswa lengo la nyerere juu ya muungano.
 
Dhambi ya kuchoma nyumba za ibada haita waacha kamwe bila kujali waraka ni wa kweli au uongo lazima mtasambaratika tu
 
Nyerere alisema jeuri ya wazanzibar kujiita wazanzibari, inatokana na muungano. Pasipo muungano hakutakuwa na Zanzibar, badala yake kutakuwa na Unguja na Pemba. Hizi ni dalili tosha kwamba baada ya muungano kuvunjika, watabaguana tena. Kama nia yao ni kuikataa bara, kwanini wasiungane pamoja bila kujali uunguja na upemba kuikabili Tanganyika?

....kaka mkubwa, kuna "wale" wa huku bara pia ambao wanaomba muungano ufe tubaki na tanganyika....wasiwasi wangu ni; je vp watu; mathalani; wa pwani yote ya tanganyika, wakitiwa matumaini na ugunduzi wa mafuta, na gesi, wakiamua kudai haki ya kujitoa ktk muungano wa tanganyika, kwa hoja kwamba ni muungano wa wakoloni ambao wao(watu wa pwani) hawakushirikishwa kwa namna yoyote ( zaidi, walilazimishwa na wakoloni),muungano wa kulazimishwa na wakolono, ambao umepelekea kuunganishwa na watu wa bara, ambao kiutamaduni, na kimahusiano, wako nao mbali mno, na halikadhalika, muungano uliopelekea kutenganishwa na jamaa zao wa visiwani, ambao kiutamaduni, na kimahusiano wako karibu mno...bila kutafuna maneno...hakuna cha kushabikia hapo! ni hatari ktk kile ambacho mwl alisema.."mtakuta mwishowe hata kitu kinachoitwa tanganyika hakipo"
 
Vipeperushi hivi vimesambazwa kwa kasi jana katika maeneo mbalimbali ya Zanzibar vikiwa na ujumbe unaowataka Wapemba waondoke Unguja na kurudi kwao Pemba wakajipange huko kuukataa Muungano. Sehemu ya waraka huo - angalia kiambatanisho....

MUANGALIE HERO WA ZANZIBAR HUYO MZALIWA WA UNGUJA PALE MWEMBELADU
http://youtu.be/n6786XUw3xo
Rais wa Zanzibar jee yeye vipi atabakishwa Ikulu ya Unguja? na wale waunguja waliozaa na wapemba watoto wao vipi? karibuni nusu ya Wazanzibari wamechanganya damu kati ya wa Unguja na wa Pemba.

wacha longolongo hizo mkuu unataka kuniambia huu muungano ulikuwa uitwe Jamhuri ya Muungano wa Tanganyika Unguja Pemba au vipi? kwa sababu tokea nilipokuja dunia hii sijawahi kusikia muungano wa Unguja na Pemba......Mnafiki mkubwa weeeee
wacheni kutaka kujaribu kuwatenganisha wa Zanzibari kwa kitu hicho sidhani kama Watanganyika tutafanikiwa kwa vile wazanzibari walivyokuwa makini:israel:
 
Hapa ndipo nnapowapendea wahenga! Wahenga wakisema jambo wala usibishe au ukadharu! Hapa wahenga wetu ni Mwl Nyerere! Sasd tunayaona, dhambi ya uzanzibari na uzanzibara!
 
(4) Rais wa Jamuhuri awe anapotikana kwa Zamu, kipindi kimoja upande

mmoja wa muungano na kipindi chingine upande mwengine wa muungano.

Hichi ndicho kitanzi cha muungano. Wakati wa Nyerere aliweza kulazimisha hili likatokea. Sasa watu wa Tanzania bara hawalitaki hili na ndicho kinachowauma watu wa Zanzibar. Halitaweza kuingizwa kwenye katiba mpya na bila hivyo sioni Zanzibar ikiikubali hiyo katiba mpya.

Hamna cha Upemba wala Uunguja. Ni longolongo tu. The buck stops here.
 

Similar Discussions

4 Reactions
Reply
Back
Top Bottom