Waume wa mabalozi?

GAMBLER

JF-Expert Member
Nov 22, 2009
303
11
Jamani wana Jf mara nyingi nimekuwa nikiona kupitia tv, mke wa rais akiwa katika matamasha na sherehe mbalimbali Ikulu huku akiwa na wake wa mabalozi, sasa mimi nilikuwa nauliza hivi kunakuwa pia na umoja wa waume wa wamabalozi???
 
Back
Top Bottom