Waume na Wake zetu

mimi kama mwanasheria nimesoma sheria ju ya Ndoa ya Mwaka 1971 kweli , vipigo havijandikwa kwenye sheria mama ya Ndoa ya 1971 na hata katiba inasema mtu aki,osea apelekwe Mahakamani kulingana na kifungu kikubwa cha 13 cha Katiba ya Jamuhuri ya Muungano ya Tanzania kama ilivyobadirishwa mwaka 2005 inasema haki sawa ya Kisheria.
Vijinaume vinavyodunda wake zao vinajifanya vyenyewe ndio mahakama na ndio polisi na ndio serikari( Nguzo tatu za Taifa ni Mahakama, Bunge na Excutives( President and the excutives)
Kwa hiyo mwanume huyo huyo anatunga sheria anaitafusiri( Mahakama) na anainforce
tembelea blogy yangu ya www.mwanasheriajames.blogspot.com upate mawazo mengi

Wanaume wanaopiga wake au girlfriends mimi wananiudhi sana. Ni uonevu wa hali ya juu na wakati mwingine ni kutokana na wivu usiokuwa na kichwa wala miguu au sababu zisizo na msingi wowote.
 
Ni wewe kweli Fidel unaongea haya na yanatoka moyoni?Na unaposema hakutoshi,kwani toka mwanzo hukumchunguza uone kama atakutosha au laa.Na ukimwambia unataka uongeze mwingine anakukubalia au unatumia mabavu.Na what if akikuambia na wewe humtoshi na yeye anataka aongeze mwingine?Shaurilo mpwa,utamaliza mabucha na nyama ni ileile tatizo ni mapishi tu.

ZD, nyama nyingine hata kama haijapikwa unaona ni mifupa mitupu! na nyingine unaona jinsi ilivyosheheni nyama ya kutosha. Nadhani umeshasikia kuhusu ile nyama ya Kongwa ambayo inapendwa ajabu. Jina la nyama linaweza kuwa ni lile lile lakini hata machoni kabla haijapikwa unaweza kuitenganisha nyama nzuri na nyama ambayo si nzuri ;)
 
tunachukulia ndoa kama sherehe ya kipaimara (siku moja),kumbe ndo maisha,humo katikati ndo unagundua kumbe kimeo,Suala ni lazima tujiulize kwanini nataka kuoa/kuolewa...na isiwe kwasababu flani kaoa/kuolewa..na sababu kubwa ni upendo wa dhati ambao naamini zaidi ya 95% hatuna tunatamaniana tuu na full showbizz.
tujaribu kuwasaidia wadogo,watoto na wajukuu zetu maana halisi ya UPENDO as for us nothing left we've to live the dream.
 
Nilikuwa naongea na wanawake fulani rafiki zangu wakasema wawili wakiishi pasipo kufunga ndoa kwa maana ya ile ya kiimani au kiserikali kunakuwa na amani na furaha pamoja na heshima lakini punde tu inapofungwa ndoa ndio matatizo yanaanzia hapo fujo, kutoka nje, kulala nje, mapigano, kudharauliana, kunyimana unyumba, kupangiana ratiba za kupata unyumba ambazo sio fair kwa mmoja baina yao n.k
 
Back
Top Bottom