Waugwna munisaidie naingia mimi

Jumanho

Member
Sep 14, 2010
37
5
Niaje wana jamvi hili, muungwana mwenzenu najitambulisha jamvini kama mnavyoelewa waungwana jamvini huruhusiwi kuingia na viatu na wala kuingia bila hodi na salamu.
Naomba kuwakilisha wakuu.
 
Back
Top Bottom