Wadau naomba niulize hivi waTanzania walio nje ya Tanzania wakati zoezi hili linaendelea kujiandiskisha watapataje vitambulisho vya Taifa hakuna taratibu zozote za kushikirikiana na balozi zetu kufanyika zoezi hili huku huku ughaibuni? au ndo lazima mtu arudi Tanzania ili kupata kitambulisho?