Mwawado
JF-Expert Member
- Nov 2, 2006
- 993
- 252
Sinyolita,
..mwandishi alipaswa kumkumbusha Membe jinsi alivyomsakama Dr.Kitine, halafu ndiyo amuulize kuhusu masuala ya Mama Mongella.
..that way mwandishi angemnyima Membe nafasi ya kuleta unafiki na kauli za hovyo hovyo.
..waandishi wetu nao wana matatizo sana jinsi wanavyofanya hizi interviews. inaelekea hawafanyi research ya aina yoyote ile wakati wanaandaa maswali.
Mkuu Joka Kuu.....Membe yule aliyekuwa Canada kama mpiganaji mkereketwa sio huyu Membe Foreign Minister.......Amebadilika kabisa.....sasa amekuwa na kiburi na kuona wananchi wa kawaida hawana maana kwake......amejipa grade ambalo anamuona kila mtu kama si kitu kwake!
Ipo siku tu Historia itawasuta!.....Hii case ya Mama Mongella itabidi aijibu vizuri....kwa sababu Dr.Slaa ana vidokezo vyote,na amesema atakula sahani moja na Membe mpaka kieleweke,si uungwana kuchota 180/million za taxpayers na kumlipia deni huyu Mama,ni bora pesa hizo zingepelekwa kwa Wahanga wa Mabomu Mbagala.