Watz TUAMKE..TUPEANE NAFASI YA KUFAIDI RASILIMALI ZA NCHI..

Stroke

JF-Expert Member
Feb 17, 2012
34,671
40,912
Tokea uhuru wa nchi hii mpaka mzee wangu kafariki, hawa jamaa bado wapo madarakani tu, nimeamka leo asubuhi..nikiwa nimechoka kusikia majina yao na porojo zao kila siku, nenda kwenye ofisi za kiserikali na mashirika ya uma, utakuta ni watoto wao tu na ndugu zao wamejaa kibao wanakula nchi kama vile wao wenyewe ndio wenye haki..

Hali hii imenichosha na ninaona imefikia mwisho sasa, kwa hawa jamaa kuendelea kututawala wao na watoto wao..tukumbuke kua tulizaliwa tukiwa tunalia ..na tujitahidi kuondoka tukiwa tunacheka kwa kuwa na maisha mazuri..na mwanzo wa mapambano ya kutetea haki ya kuwa na maisha mazuri ni sasa..
 
Back
Top Bottom