WaTZ Mbona hampendi wakenya?

Status
Not open for further replies.
koba umeongea point sana'hizi kelele ulizoziona hapa ni watanzania waliochoshwa na hao hao partiners'ni ngumu sana kuwa pamoja na kuwakubali asilimia zote ndani ya jamii yetu'lakini hakuna jinsi kwa sababu hata mimi binafsi siwapendi kwa tabia zao tu'tutajitahidi kubadilika mkuu
 
haha ahaha ahaaa....kwa wale ant EAC and Kenyans hater hii topic ni kama gold mine in the sky,ila let me give some facts about EAC & kenyans...
hizo "facts" about kenyans mbona hazizungumzii umasikini uliokithiri kwenye slums za kibera na mathare? mbona hizo facts hazizungumzii unyan'gau wa wakenya. hebu lete hizo facts kwanza, usizifiche. Koba hujui kwamba msema kweli ni kipenzi cha Mungu?
 
Wakenya, stop looking for someone to blame. Let's forget about Watanzania for a minute, you guyz don't like each other at all and if you want top proove what I am talking about then go Mashada.com . The level level of hatred between Wajaluo and Wakikuyu is appaling; to make a long story short, hatred is engrained in Kenyans DNA.
 
haha ahaha ahaaa....kwa wale ant EAC and Kenyans hater hii topic ni kama gold mine in the sky,ila let me give some facts about EAC & kenyans

1)According to data from Bank of Tanzania Kenya is your largest trading partner,like or not lakini you depend one another kwa kiasi kikubwa sana,na latest data zinaonyesha Tanzania wana export more to kenya kuliko wanavyo import(net exporter),wengine mko busy bashing Kenyans lakini hamjui kazi zenu zinategemea uhusiano mzuri btn the two,hao chinese,British or South Africans combined hawafikii the exchange btn Kenya & Tanzania

2)Kenya firms are leading investors in Tanzania,hao chinese,south Africans etc they are not even close

3)EAC ipo na itaendelea kuwepo na hakuna land crisis na hakuna mtu anataka free land through EAC,land laws & policies zote zitabaki ndani ya nchi husika,mkiona kina Ching chong au kenyatta wana miliki 10000 acres dont blame EAC ni sheria zenu wenyewe pale dodoma ndio zinaruhusu hiyo

Hata kama ni kweli au uongo, isiwe sababu ya kutukana na kudharau Wa-TZ.
.... Hicho hatuwezi kuvumilia kabisaa,,
 
acheni ubaguzi,nilikuwa tz last week watanzania wengi wanaonyesha hawatupendi wakenya,lakini wakenya wanasaidia kazi za kitaalam tanzania ambazo watz hawaziwezi kutokana na low eduction
tupendane dunia imebadilika sana
nashangaa sana nilikutana na demu mmoja nikajaribu kuongea naye alivyojua mimi mkenya aliondoka ghafla,inaonekana watz wengi ni wajinga sana na hawajasoma,lets change guys

unaongea utafikiri kwenu sasa hivi kuna magari yanayoruka angani na drones kama watumwa wenu, acha usenge, life is not about paranoid, nyie kila kitu ta tz kwenu ni jokes, go back to your hole you miserable worm
 
acheni ubaguzi,nilikuwa tz last week watanzania wengi wanaonyesha hawatupendi wakenya,lakini wakenya wanasaidia kazi za kitaalam tanzania ambazo watz hawaziwezi kutokana na low eduction
tupendane dunia imebadilika sana
nashangaa sana nilikutana na demu mmoja nikajaribu kuongea naye alivyojua mimi mkenya aliondoka ghafla,inaonekana watz wengi ni wajinga sana na hawajasoma,lets change guys

kama unaclaim wakenya mmesoma usingeaandika matusi namna hiyo ungetumia ustaarabu na busara sana na hii inaonyesha namna usivyo na elimu na badala yake kujua kuongea kiinglish purely lugha ya kikoloni mnafikiri ndio elimu poor you!!!! Hata hiyo lugha yenyewe hamjui kwanza huku vyuoni kwetu mnaposoma hizo dissertation mnazoandika ni vichefuchefu mnawachosa tu malectures wetu na mbona huwa hatuoni makali yenu

FYI: foreigners wanaaongoza kudisco UDSM ni wakenya!

Hizo kazi mnazofanya ni zipi amabazo watanzania hawana ujuzi nazo???? Nina data zinazoonyesha kila mwezi watanzania wanaajiliwa kenya hasa kwenye sector ya electronics na computer science/engineering kama mmesoma sana ianakuwaje kazi hizo zinachukuliwa wabongo wasiosoma???

Demu kukumbia........... hivi unategemea demu akupapatikie et kisa we mkenya watu mliokubuhu kwa ubaguzi wa kikabila na huwa mna oyesha roho zenu mbaya directly mfano ni kwenye hii thread yako hapa.

Sie tunachukulia kama ndugu zetu ila hayo majivuno yenu na ubaguzi wenu vinatukelaaa ndio maana tunakuwa hatuna time nanyi!!!
 
hatupendi wauza sura,mnajiona mnajua kila kitu mjajidai nyie mnajua kila principle hamna lolote
i like guys from uganda,rwanda, burundi heri nichukue na mkimbizi wa somalia kuliko liuza sura la kenya kula miraa huko ulale
 
If you are attentive enough, it would be easy to spot the obvious from Kenyata's posts, one thing that I easily noted is that he is not Kenyan, his Swahili is nice though he tries hard to corrupt it. I am sure he is amongst the EAC detractors, spoiling for a war of words against us. I do not support his posts.
 
hatupendi wauza sura,mnajiona mnajua kila kitu mjajidai nyie mnajua kila principle hamna lolote
i like guys from uganda,rwanda, burundi heri nichukue na mkimbizi wa somalia kuliko liuza sura la kenya kula miraa huko ulale
Lakini mbona wasichana wabongo wananipenda tu, mbona ndugu na rafiki zangu wakija bongo inakuwa rahisi sana kwao kupata wasichana wazuri wakuwakaribisha TZ.. kama ni kweli mnatuchukia hivyo, singekuwa nimeoa msichana mpare tena professional kama bibi wa pili. wabongo bana
 
Huyu mkulima vip? eti anasema kazi za kitaaluma, zaidi ya UALIMU kazi gani mnafanya tz? wakenya wengi ni walimu TZ na matapeli wengi pia ni wakenya siku hzi wameingia mpaka kazi ya udalali wa nyumba wanapiga watu balaa, tuondolee upuuzi aisee chalii angu!! ulitaka kumtapeli mpk dada yetu....pole!
 
Watanzania kwa ujumla wao hawana chuki na mtu wa taifa lolote lile. Ila watu binafsi wanaweza kuwa nazo
 
Status
Not open for further replies.

Similar Discussions

Back
Top Bottom