WaTZ Mbona hampendi wakenya?

Status
Not open for further replies.
Mjifunze kkwanza kupendana nyie wenyewe huko kenya kwenu.FYI ....Tanzania ya sasa sio ya jana.subiri uone maajabu kutoka tanzania...
 
wewe ndugu ngoja niseme,Zimbabwean na Kenyan ndio watu pekee wenye best skill sub saharan,hiyo ujue ndio maana mnalalamika lakini hiyo ndiyo kweli
Hivi nani analalama hapa? Are listening to yourself?
Halafu best skill ya nn? Longolongo?

'best skill sub saharan'....hizi tuzo zimeanza kutolewa lini wajameni?
 
Duuhhh..!!!!:A S 13::A S 13::A S 13:.. Kama si chizi, basi Utakuwa na matatizo fulani. Huyo aliyekwambia kwamba wanawake wote wa ki-TZ ni makahaba atakuwa amekudanganya. Ni mwanamke gani na heshima zake ambaye hata hakufahamu utamu-approach kwa gia kubwa kisha utegemee kumpata kwa siku hiyo hiyo? Tena hata kusubiri mpaka kujua kwamba wewe ni mkenya atakuwa amekustahi sana.:A S-coffee:

learn to give people chance to socialize
 
nyie watz inaonekana hamuwezi kufanya socialize na watu kutoka nchi zingine,mna aibu sana,halafu mnapenda sana kujiona nyie mko na roho nzuri,lakini umaskini wenu wa akili utawaletea umaskini sana
Wee kenyata chizi nini! kati yetu na nyie nani anaweza kusocialize? Halfu tungekuwa na aibu tungewezaje kukataa protocol uchwara ya ulinzi waziwazi mbele yenu? Unasema tunajifanya tuna roho nzuri; Sie tuna roho nzuri kweli sio kama nyie na mademu zenu mna roho mbaya na sura mbaya vilevile.
 
mimi nilishangaa sana demu kunikimbia kwa sababu niliongea neno moja kwa english,mbona mnakuwa wakali,kubalini nyie uwezo wenu ni kadogo sana kulinganisha na wetu

Hahah, kumbe unapima uwezo wa mtu kwa kutumia lugha? Ewe mtumwa wa kifikra, ZINDUKA. Kujua kiingereza haimaanishi una akili.

Jamani huyu mwacheni tu hoja yake nyepesi sana na anaonesha kabisa ana upeo mdogo. Nenda kalinde nchi huko alshabab wanakuja!
 
nyie mnatakiwa kujua america was built by immigrants,stop undermine kenyan,tutawasaidia sana nyie
 
Wakenya mi nawapenda saana ila tatizo lao ni moja tu la kutaka kujifanya wapo juu kuliko wengine, na kama wewe ndugu umefuta japo ujinga tu usingeweza kuandika vitu kama hvyo humu, it might be true what you a saying about as but we are the best in East Africa Sir. pia hamjabahatika kuwa na sura nzuri kiukweli hlo kubali kama muungwana, I have a friend of mine Kenyani she so agry lakini anajiona kama Ray-C, nyie mnatuweza kwa mbio tu na si vinginevyo ndugu.
Mie siwapendi kabisaaa!!! kama wewe unawapenda basi huwajui vizuri.
 
rafiki yangu mtz kanionyesha hii site,lakini sijapenda member wake wanavyojibu hoja hapa,sioni kama naweza jifunza kitu hapa zaidi ya chuki,shame on u
 
acheni ubaguzi,nilikuwa tz last week watanzania wengi wanaonyesha hawatupendi wakenya,lakini wakenya wanasaidia kazi za kitaalam tanzania ambazo watz hawaziwezi kutokana na low eduction
tupendane dunia imebadilika sana
nashangaa sana nilikutana na demu mmoja nikajaribu kuongea naye alivyojua mimi mkenya aliondoka ghafla,inaonekana watz wengi ni wajinga sana na hawajasoma,lets change guys

Mbongo agent provocateur wewe. Umetumwa kuvuruga uhusiano na kutukanisha majirani. Madem wa bongo mbona hawana noma na wageni. Kiswahili kinatia shaka kama kweli mkenya,
 
mimi nilishangaa sana demu kunikimbia kwa sababu niliongea neno moja kwa english,mbona mnakuwa wakali,kubalini nyie uwezo wenu ni kadogo sana kulinganisha na wetu
una hakika hakuweza kukujibu ama alionaa mapungufu yako mengine.Je ukienda uchina pia unatongoza kwa kiswahili?
 
rafiki yangu mtz kanionyesha hii site,lakini sijapenda member wake wanavyojibu hoja hapa,sioni kama naweza jifunza kitu hapa zaidi ya chuki,shame on u
Na yy akiona vi post vyako uchwara na urafiki utakufa...

Unaenda kwa watu na kisha unaketa nyodo?
Mkenya wahedi wewe...ulidhani utashobokewa ukisema ww wa kwa baba Moi.....


Kick rocks boy
 
najua hamtupendi but we are here to stay,mbona serikali yenu inatupenda,twafanya kazi twalipa tax,serikali yenu yawajua nyie wavivu sana

hata waarabu hawafanyi kazi badala yake wanaajiri wahindi kuwadekia nyumba,nyie si mnajidai chapakazi basi karibuni bongo,huku tunatumia akili kuishi sio muscles.
 
rafiki yangu mtz kanionyesha hii site,lakini sijapenda member wake wanavyojibu hoja hapa,sioni kama naweza jifunza kitu hapa zaidi ya chuki,shame on u
Kama waTz hawawapendi huyo alipata wapi muda wa kukuonesha site hii?
 
rafiki yangu mtz kanionyesha hii site,lakini sijapenda member wake wanavyojibu hoja hapa,sioni kama naweza jifunza kitu hapa zaidi ya chuki,shame on u

We unaleta hoja kimang'aa unatarajia nini?

Hoja laini kama ndinyo unatarajia nini.
Nenda kapakatwe nai.
 
Status
Not open for further replies.

Similar Discussions

Back
Top Bottom