Waturuki wai ´HACK´ website ya microsoft

Babuji

Senior Member
Nov 27, 2008
197
3
Kundi la vijana wa kituruki wanaojiita “Terrorist crew” walifanikiwa kuiteka website ya microsoft kwa masaa kadhaa na kuwaachia wadau wa Microsoft salamu za idi mubarak.

Kundi hilo linalojulikana kama “Terrorist crew” liliiteka kwa masaa kadhaa website ya Microsoft maalumu kwa nchi ya Ireland na kuwaachia wadau wa website hiyo salamu za idi Mubarak.

Mwaka 2006 kundi jingine la waturuki liliiteka website ya Microsoft ya Ufaransa na kuwaachia wadau wa Microsoft ujumbe huu:
"Hi Master :) Your System 0wned By Turkish Hackers! redLine ownz y0u! Special Thanx And Gretz RudeBoy |SacRedSeer| The_Bekir And All Turkish HacKers next target: microsoft.com date: 18/06/2006 @ 19:06 WE WERE HERE...."

Kundi la vijana wa kituruki limekuwa likishindana na kundi la vijana wengine wa Urusi katika kuziteka tovuti mbali mbali duniani.

Mwaka 2005 kundi hilo lilifanikiwa kuziteka computer za vyombo vikubwa vya habari vya marekani kama vile CNN, New York Times, ABD News na vinginevyo na kufanikiwa kutuma virusi kibao ambavyo vilivuruga mitambo yao.

Habari kamili NIFAHAMISHE Tanzania news portal .: Habari za Tanzania :.
 
back in '01 hawa wapuuzi waliwahi kuniachia salamu kama hizi kwenye web server yangu, ikabidi nibadilishe from IIS (which has more holes than Swiss cheese) to Apache.

Wanacheza na IIS kama mali yao vile.
 
I am scared of these guys than the virus itself for they are more virulent than anything ever thought. They caused me more than 60K dollars last summer by uploading fishing materials in my entire group of company websites and it was horrible no online transactions and emails were hijacked on the pipeline. It was terrible and horrific!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom