Watuhumiwa wa mauaji watoroka mahubusu

Kassim Awadh

JF-Expert Member
Mar 12, 2012
884
187
Watu wanne wakiwemo watuhumiwa watatu wa kosa la mauaji wametoroka kutoka mahabusu ya Polisi kituo cha Mbeya mjini (central) baada ya kuchimba,kutoboa tundu katika mahabusu walimokuwamo. Watuhumiwa hao waliumwagia ukuta maji kisha kuutoboa kwa kutumia vipande vya nondo. Rpc Advocate Nyombi amethibitisha kutokea kwa tukio hilo.

Hawa walipata wapi vifaa hivi ikiwa mtu huingii mahabusu mpaka umepekuliwa na kutolewa "vitu vya hatari"?
 
Legal officer Nyombi, jibu masuali machache yafuatayo:

Ni muda gani mtuhumiwa anakaa mahabusu kabla ya kupelekwa mahakamani?

Imewachukuwa muda gani hao watuhumiwa kutoboa ukuta wa amahabusu mpaka kuweza kutoka nje?

Hizo nondo ziliingiaje mahabusu mpaka wakatumia kutoboa ukuta?

ANGALIZO:

Sheria iko wazi ikuwa mtuhumiwa lazima afikishwe mahakamani masa a 24 baada ya kukamatwa
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom