Watu Zaidi ya 5000 wapiga picha wakiwa uchi

Hakuna starehe kama kukaa uchi,mimi nikiwa home huwa napenda sana kukaa uchi ila kutokana na tabia za kiafrika ina bidi ujisitiri kidogo ili usionekane mwehu!
 
naona na wazee kabisa na mvi zao wapo hapo, sasa dunia ndo inaishia hivyooo
Dunia inaishaje kwa mfano. Ulizaliwa bila mavazi.Hao wanavuta kumbukunbu jinsi walivyokuja duniani bila mavazi unasema dunia inakwisha.Acha Utani
 
Shame on them ..isitoshe wapo hapo wazee vijana ila cjaona mtt akini c jambo LA nzuri kumwaga radhi pasipo na sababu za msingii
 
Back
Top Bottom