Ni alshabab au?
Ni alshabab au?
View attachment 48950ona hio njemba kushoto ilivyovaa......
Daaah, sante kwa ufafanuzi shemeji, mpambe anaonekana full misifa lol.Shemeji huyo ni mpambe wa huyo anayevuma na wimbo wake wa "facebook"
Mh... Sikuamini lol...Huyo hana mdomo ndo maana kavaa hivyo
Daaah, sante kwa ufafanuzi shemeji, mpambe anaonekana full misifa lol.
hivi ujue hata wewe una mbwembwe ivo ivo!
Poa Gee Cee
za kupotea?
Yeah shemu, anajitahidi sana....vipi shem..rafiki yangu anaktreat vizuri?
Do you feel like a queen with him?
Yeah shemu, anajitahidi sana....
....nani hawa...?
vipi shem..rafiki yangu anaktreat vizuri?
Do you feel like a queen with him?
Hao jamaa ni wanamuziki , hapo wako hoteli wameagiza chakula (Wali)
Wakaletewa Wali wa mafuta wakaukataa !
Sijui wanataka Wali wa nini ?
Unaweza ku'guess ?