Elections 2010 Watu wengi wasafiri sana kwenda kupiga kura

We can

JF-Expert Member
Sep 4, 2010
678
47
Taarifa ya ITV saa 12 (Hapa na Pale) inaonyesha kuwa kwenye kituo cha mabasi Ubungo watu wameongezeka sana kusafiri kwenda majumbani kwenda sijui wapi? Kupiga kura? What does this imply?

Kazi ipo mwaka huu: TRUTH vs FAULSE, light vs dackness, Hope vs hopeless, opression vs freedom, etc

Mungu Ibariki Tanzania na watu wake wote
 
Back
Top Bottom