Watu wawili wakamatwa wakiwa katika mchakato wa kuchuna ngozi watoto, wapigwa kiberiti

Money Stunna

JF-Expert Member
Aug 9, 2011
13,054
6,281
8.jpg 8.jpg taharifa nilizopata kutoka mjini kemondo,kagera watu wawili wakamatwa wakiwa katika harakati za kuchuna ngozi watoto,raia wawasha moto,polisi waingilia kati,washambuliwa,kwa habari nilizopata sasa hao walioshikwa wako wanachomeka kwa moto,raia wameona wawachome,nikipata habari ya kinachoendelea zaid nitawajulisha
 
Duh kazi ipo, binadamu wengine wanaroho za ajabu kweli!! Anyway, yote ni kutokana na mifumo mibovu ya tawala zetu!!
 
Kama kweli ndo kaz yao ya kuchuna ngoz za wenzao Piga moto na majivu weka kwenye mimea wawe mbolea maana hao siyo watu tena wamekuwa mafisi
 
taharifa nilizopata kutoka mjini kemondo,kagera watu wawili wakamatwa wakiwa katika harakati za kuchuna ngozi watoto,raia wawasha moto,polisi waingilia kati,washambuliwa,kwa habari nilizopata sasa hao walioshikwa wako wanachomeka kwa moto,raia wameona wawachome,nikipata habari ya kinachoendelea zaid nitawajulisha

Atiii? haya mambo yamehamia na huko tena? hao watoto wameshauawa au wazima? wangewahoji kwanza ili wajue mtandao wao kabla ya kuwapiga moto!
 
Hawa wanaochuna watoto ngozi, wamevuka mpaka.... Hawana huruma na Pinda? Pamoja na mzee wa watu kutoa machozi bado watu wanarudia?
 
mimi naona watu wasikimbilie kuwachoma moto,wangewauliza nani kawatuma,je kama wao wenyewe imekuaje mpaka wanafanya hivo,ni mganga gani kawaambia ili ushikwe mtandao mzima,lakin kukimbilia kuwachoma,inakuwa ngumu kwa upelelez kukamata mtandao mzima
 
mimi naona watu wasikimbilie kuwachoma moto,wangewauliza nani kawatuma,je kama wao wenyewe imekuaje mpaka wanafanya hivo,ni mganga gani kawaambia ili ushikwe mtandao mzima,lakin kukimbilia kuwachoma,inakuwa ngumu kwa upelelez kukamata mtandao mzima

Mara nyingi anayehimiza wauawe anakuwa anahusika nao anajua wakibaki hai watamsema na yeye
 
siyo Bishanga kweli,
inawezekana alienda kutafuza zindiko baada ya kuona pesa haikamatiki.
 
1JOHN 5.19

"We know that we are children of God,
and that the whole world is under the control of
the evil one".
 
Duh kazi ipo, binadamu wengine wanaroho za ajabu kweli!! Anyway, yote ni kutokana na mifumo mibovu ya tawala zetu!!


Kivipi mkuu hapo kwenye bold? U.S.A juzi juzi kuna mtu alikula ubongo wa rafiki yake baada ya kumpasua kichwa na kwao mfumo mbovu? Au unaongelea hatua ya raia kuwachoma moto hao watu?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom