Watu wanaswa na komputa na meza zilizoporwa kanisa la Mbagala

Status
Not open for further replies.
Mungu atalipa kisasi kwani alisema ni juu yake.
haya mambo huwa hayapita kilaini mkuu,
ni lazima tutayaona kwa macho yetu haya ya nyama.
Waliingia kwenye ofisi ya mchungaji wakachana chana bible na kuiba sadaka na isitoshe wakachoma madhabahu.. OMG.. MUngu wasamehe.
 
hapana chezeiya njaa wewe! wanajidai kufanya fujo kumbe wanataka wapate chance ya kuiba.
 
tatizo lao hawa misikitini kwao kuna mikeka iliyo isha hakuna hata chochote na ndio maana wanakuwa wezi wenyewe kwa wenyewe wanaibiana NDALA(KANDAMBILI) ndio maana wanaonavivu wakaamua kuja kuvunja kanisa ili waibe wezi tuu kawa
 
hapo paliko andikwa waislam ni wapi au ndo muendelezo wa chuki zenu?

Hakika we kafiri una matatizo, gazeti lenyewe halijaandika hivyo ndomana umeleta habari nusu ili kuficha ukweli.

Acha kupoteza muda kujaribu kuupaka matope uislam.
Mnatukejeli tupandishe hasira, tukijibu mapigo mnaanza kulialia.

Mkuu you need psychiatric help...

Kama maneno ya mtu yanaweza kukufanya ufanye mambo ya kumdhuru mwenzako au kuvunja sheria hizo sio hasira bali ni ulimbukeni na udhaifu wa kutoweza kujizuia
 
Nchi hii imeshaingia kwenye ugomvi wa kidini, na yote hii ni kwa sababu Rais ni MUISLAM angekuwa katokea upande wa pili wa dini haya yoye yasingetokea, na nina wasiwasi kuna baadhi ya watu humu wamemtumia yule mtoto akadhihaki UISLAM ili kuwatia hasira waislam waje juu ili waonekene wakorofi
 
hapo paliko andikwa waislam ni wapi au ndo muendelezo wa chuki zenu?

Hakika we kafiri una matatizo, gazeti lenyewe halijaandika hivyo ndomana umeleta habari nusu ili kuficha ukweli.

Acha kupoteza muda kujaribu kuupaka matope uislam.
Mnatukejeli tupandishe hasira, tukijibu mapigo mnaanza kulialia.

hata kwa hatua hii huzibi bakuri lako?, umewatetea na kuwapongeza walipovunja makanisa kwa ajili ya kuiba, sasa wanakesi ya kujibu.
 
Hizo computer ziliibiwa baada ya waislam wenye msimamo mkali(feki) kuvamia kanisa na kulivunja na kuiba vitu mbali mbali.. Ila watanyea debe hawa hata kama Rais ni alhaji mwenzao.. Sheria na kanuni haziwezi kupindishwa
muhalifu ni muhalifu tu,awe muislamu mkristio au mpagani.cha msingi tukemee uhalifu tu.sio kusema waislam waiba kompyuta au waktisto.......! sio sahihi.kwa mfano,kuna askofu alikutwa akikandamiza mtoto ndani ya gari maeneo ya mlimani miaka ya nyuma.unadhani ni sahihi kusema wakristo wa......!tuweni waadilifu jamani.
 
Namna moja ya kuwagundua ni namna yenu ya kufikiri. Huwa hamuelewi kitu mpk kisemwe mara mia, japo pia yawezekana isiwe dawa.

Source: Mwananchi.

Sasa unamlaumu nani, Ivuga au Mwananchi?

Haya anza kuita hayo majina, ila zuzu, zoba na mbumbumbu usiite maana hayo ni yako

Ni semeje mimi na wewe tayari unajiita mtoka pabaya!!
 
Nchi hii imeshaingia kwenye ugomvi wa kidini, na yote hii ni kwa sababu Rais ni MUISLAM angekuwa katokea upande wa pili wa dini haya yoye yasingetokea, na nina wasiwasi kuna baadhi ya watu humu wamemtumia yule mtoto akadhihaki UISLAM ili kuwatia hasira waislam waje juu ili waonekene wakorofi

Tukishajenga vyuo vikuu 500 ndio tutakuwa na muda wa kurelax. Hata hivyo, kurelax kwetu hakumaanishi kushindania ujinga with low life people of your kind. Najua mpaka hapa hujanielewa; hatuna muda wa kumtuma mtoto kucheza michezo ya kabila lenu.

By the way ngoja nikuchambue kidogo: AVATAR yako ni picha ya Usama bin Laden. Kuweka picha ya Usama ni dalili ya kuwa unamkubali na unamu-admire. Wote Usama tunamfahamu na matendo yake tunayajua, still umemuweka akupambie wajihi wako halafu wewe huyo huyo unataka tuamini kuwa hupendi fujo, mauaji na visasi.

Rais kuwa Muislamu ndio kulisababisha mchome makanisa Zanzibar? Rais Muislam ndio amewapa fedha kuanzisha Radio Imanu ihubiri chuki na ujinga muda wote?

Kama dini yako inakataza unafiki (which I doubt), tell me, wale wezi walioiba vifaa vya kanisa ni wakristo au waislamu?
 
Hahaaaaaa! Hawa jamaa zetu ni wa ajabu sana, kwenye sensa walishinikiza kipengele cha dini kiingizwe kwenye dodoso Hapa wamehusishwa na vurugu na uhalifu wanajitutumua kuukana UISLAMU na kujiita wahalifu. Yaani ni vigumu sana kuwaelewa hawa watu. Badala ya kujivunia ushujaa wao katika vurugu walizofanya kwa nia "njema" ya kulinda imani yao wanajitenga kwa mbali na kujifanya hawahusiki. Sisi wenzenu tumefundishwa kutetea imani hata ukiwekewa panga shingoni kwani kufa na kuteswa kwa ajili ya kutetea imani ni utakatifu. Kwa ndugu zetu hawa kutetea imani ni kufanya vurugu, mauaji na uporaji, kutesa wengine na wanapokamatwa wanaikana imani yao na uislamu wao na kujiita wahalifu........So amazing!

Wa2 wenye akili fupi kama ww is alwayz difficult to discuss with but anyway wacha 2wafahamishe kulingana na kilichotokea ni kweli waislamu ndio walioriact the same chance were used by fools and hooligans like u 2 to break and steal some properties which is against Islam, so that does not justify that those thieves were muslims because muslims are the one who made the reaction. But this is 4 only those who use their mind rationally.
 
makafiri wanamatatizo sana.
Mbona alivyo shtakiwa muhando wa tanesco, mramba, yona au kweka walivyoshtakiwa kwa ubadirifu hawakusema wakristo wakamatwa kwa ufisadi?

Mnawachokoza waislam, wakijibu mapigo mnalalamika.[/
QUOTE]
Kwa tukio la mbagala hatuna namna ya kuutenganisha Uislam na uhalifu ule.Tusaidie kuweka point za msingi za kuweza kutenganisha. Ukizingatia walifanya uhalifu ule kwa kutetea Imani yao.
 
Hahaaaaaa! Hawa jamaa zetu ni wa ajabu sana, kwenye sensa walishinikiza kipengele cha dini kiingizwe kwenye dodoso Hapa wamehusishwa na vurugu na uhalifu wanajitutumua kuukana UISLAMU na kujiita wahalifu. Yaani ni vigumu sana kuwaelewa hawa watu. Badala ya kujivunia ushujaa wao katika vurugu walizofanya kwa nia "njema" ya kulinda imani yao wanajitenga kwa mbali na kujifanya hawahusiki. Sisi wenzenu tumefundishwa kutetea imani hata ukiwekewa panga shingoni kwani kufa na kuteswa kwa ajili ya kutetea imani ni utakatifu. Kwa ndugu zetu hawa kutetea imani ni kufanya vurugu, mauaji na uporaji, kutesa wengine na wanapokamatwa wanaikana imani yao na uislamu wao na kujiita wahalifu........So amazing!

Wa2 wenye akili fupi kama ww is alwayz difficult to discuss with but anyway wacha 2wafahamishe kulingana na kilichotokea ni kweli waislamu ndio walioriact the same chance were used by fools and hooligans like u 2 to break and steal some properties which is against Islam, so that does not justify that those thieves were muslims because muslims are the one who made the reaction. But this is 4 only those who use their mind rationally.
 
Haa naona waislamu sasa hv mnawakataa ndugu zenu hebu fikirieni ingekuwa ndio nyie mlioibiwa na katika hali na kama mnabisha sio nyie basi ni nani aliekuwa na hasira ya kwenda kubomoa na kuiba kanisani kwake anapopatolea sadaka?

Tumieni busara mmeaibishwa mara mbili kwa kuonekana mnawakalilisha watoto uongo na pia watu wasio kuwa na subira wala heshima kwa jirani yako ugomvi wa watoto hadi upigane na mzazi

Wenye akili walielewa na hawakuona haja ya kufanya hvyo na haikutakiwa kuwa strike kila mtu ajue mtoto kakojolea quran na hajadhurika ni aibu ila maana yenu ilikuwa na kuwafanya watoto waheshimu maandiko yaliyomo na kitabu chenyewe

My take
Wezi waadhibiwe mara mbili kwa kosa la wizi mahakami na kosa la kuudharirisha uislam msikitini

Kwa mtoto kama ni kizimbani wapande wote wawili sababu kama kweli tatizo ni la mmoja ingekuwa kitabu kimechanwa sio kimekojolewa viboko na onyo kali vinatosha kwa wote halafu wakae wazazi pande mbili na viongozi wa dini tatizo liishe ila ni aibu kwa kilichotokea

Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom