Watu wanaswa na komputa na meza zilizoporwa kanisa la Mbagala

Status
Not open for further replies.

Saint Ivuga

JF-Expert Member
Aug 21, 2008
54,363
58,385
wanaswa na na kompyuta, meza za kanisa
Mbagala.
Tuesday, 16 October 2012 08:32 Pamela Chilongola
WATU wanne zaidi wamekamatwa na polisi
wakiwa na kompyuta na meza zilizoporwa katika
Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT),
Usharika wa Mbagala, Dar es Salaam.Kukamatwa
kwa watu hao kunafanya idadi ya waliokamatwa kutokana na vurugu zilizotokea Ijumaa wiki
iliyopita kufikia 126. Vurugu hizo zilisababishwa na watu wanaodaiwa
kuwa waumini wa dini ya Kiislamu kuvamia Kituo
cha Polisi Maturubai wakitaka wapewe mtoto
aliyedaiwa kudhalilisha kitabu kitakatifu cha Quran
kwa kukojolea.
Source: Mwananchi.
My take: kutokana na umbumbu na shule ndogo na akili za panzi walishindwa kuzitumia zile laptop kwa sababu zilikuwa na Password.
 
“Tulikuwa katika mkutano wa kuwaandalia kila
mmoja hati yake ya mashtaka na wakati wowote
kuanzia kesho (leo) tutawafikisha mahakamani
kujibu mashtaka yao,” alisema Kamanda Misime.
 
wamenaswa wezi wa komputa sio waislam

Hizo computer ziliibiwa baada ya waislam wenye msimamo mkali(feki) kuvamia kanisa na kulivunja na kuiba vitu mbali mbali.. Ila watanyea debe hawa hata kama Rais ni alhaji mwenzao.. Sheria na kanuni haziwezi kupindishwa
 
“Tulikuwa katika mkutano wa kuwaandalia kila
mmoja hati yake ya mashtaka na wakati wowote
kuanzia kesho (leo) tutawafikisha mahakamani
kujibu mashtaka yao,” alisema Kamanda Misime.

Tia jela hawa ama wanyongwe kabisa
 
hapo paliko andikwa waislam ni wapi au ndo muendelezo wa chuki zenu?

Hakika we kafiri una matatizo, gazeti lenyewe halijaandika hivyo ndomana umeleta habari nusu ili kuficha ukweli.

Acha kupoteza muda kujaribu kuupaka matope uislam.
Mnatukejeli tupandishe hasira, tukijibu mapigo mnaanza kulialia.
 
Dah kweli Mungu yupo watu wanaibiwa vitu nyumba nzima na huvipati mwaka ila meza ya kupiga msasa na kompyuta ya kuformat vimeshindikana hadi wanakamatwa dah kweli ukistaajabu ya Musa utayaona ya Firauni

Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
 
wamenaswa wezi wa komputa sio waislam

Hizo computer ziliibiwa baada ya waislam wenye msimamo mkali(feki) kuvamia kanisa na kulivunja na kuiba vitu mbali mbali.. Ila watanyea debe hawa hata kama Rais ni alhaji mwenzao.. Sheria na kanuni haziwezi kupindishwa

''Akizungumzia tukio hilo Kamanda wa Polisi Mkoa wa Temeke Kamishina Msaidizi wa Polisi(ACP) David Misime aliwataja watuhumiwa hao ni kambi Hajidi, Hamadi Salehe, Shabani Hamisi na Majebele''

Angalia hayo majina afu uniambie kama niwakristo :)

Source: Taarifa ya Polisi

Nakala kwa mikogo Saint Ivuga peri cacico Ciello
 
hapo paliko andikwa waislam ni wapi au ndo muendelezo wa chuki zenu?

Hakika we kafiri una matatizo, gazeti lenyewe halijaandika hivyo ndomana umeleta habari nusu ili kuficha ukweli.

Acha kupoteza muda kujaribu kuupaka matope uislam.
Mnatukejeli tupandishe hasira, tukijibu mapigo mnaanza kulialia.
kwani waliokuwa wanaandamana na kuvunja vitu ni wapagani?? jibu unalo na rula unayo, pigia mstari sasa! ni MOSLEMS! period!
 
hahahahahahahahhh !!@cacico walikuwa hawajui matumiz yake?kwahiyo huwa hawaendi computer kozi?
 
wanaswa na na kompyuta, meza za kanisa
Mbagala.
Tuesday, 16 October 2012 08:32 Pamela Chilongola
WATU wanne zaidi wamekamatwa na polisi
wakiwa na kompyuta na meza zilizoporwa katika
Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT),
Usharika wa Mbagala, Dar es Salaam.Kukamatwa
kwa watu hao kunafanya idadi ya waliokamatwa kutokana na vurugu zilizotokea Ijumaa wiki
iliyopita kufikia 126. Vurugu hizo zilisababishwa na watu wanaodaiwa
kuwa waumini wa dini ya Kiislamu kuvamia Kituo
cha Polisi Maturubai wakitaka wapewe mtoto
aliyedaiwa kudhalilisha kitabu kitakatifu cha Quran
kwa kukojolea.
Source: Mwananchi.

niliwah sema vurugu zile ni zaidi ya dini.hawa watu njaa ndizo zinawafanya wajidai wanaandamana ili waibe.kumbuka kuwa hawataki kufanyakazi zaidi ya kucheza bao
 
hapo paliko andikwa waislam ni wapi au ndo muendelezo wa chuki zenu?

Hakika we kafiri una matatizo, gazeti lenyewe halijaandika hivyo ndomana umeleta habari nusu ili kuficha ukweli.

Acha kupoteza muda kujaribu kuupaka matope uislam.
Mnatukejeli tupandishe hasira, tukijibu mapigo mnaanza kulialia.
peri Kwani waendesha fujo si ni waislamu? Mnajijua sana kwamba dini yenu ni ya chuki, visasi na giliba dhidi ya dini nyingine na wanadamu wengine. Sasa unang'aka nini ukiambiwa nyie ndo mliyeiba meza za kanisa na computer wakati kwenye redio imani na gazeti la Al Nuur mnapongeza vitendo vya kihuni vilivyofanywa na waislamu huko mbagala?

Wewe kubali tu kwamba haya yaliyotokea Mbagala, Songea, Zanzibar na kwingineko nchini yanawakilisha mafundisho ya uislamu na tabia za mtume Mohamad ambaye mnafuata mafundisho yake. Na kwa msingi huu definition halisi ya usilamu ni visasi, chuki na magomvi. Ndiyo maana kwenye nchi za kiarabu watu hawaishi kuuana. Uislamu umewafundisha hivyo. Na unaposema mwandishi anachochea hasira zenu unadhihirisha uhalisia wa tabia za Kiislamu. Maana kwa wakristo tunaamini hasiri hukaa vifuani mwa watu wapumbafu.
 
Last edited by a moderator:
Yesu alisema tusamehe saba mara sabini, ukristo hautaisha mpaka siku ya mwisho, wanaojidanganya kuudhoofisha ukristo wanapoteza muda wao, wajifunze kwa wale waliokuwa wanajilipua wako wapi na wamekwenda wapi na kiko wapi!!!
YESU NI YEYE YULE JANA LEO NA HATA MILELE AMIN!
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom