Watu wanaongoza humu JF kwa wingi wa posts zao... Wewe unadhani nani anaongoza kwa...

gambachovu

JF-Expert Member
Dec 29, 2011
1,854
292
1. ....kupost thread nyingi.....

2. .....kuchakachua thread za wenzake....

3. .....ukorofi-korofi wakati anarespond kwenye posts ......

4. ....kuandika thread ndefu......

5. .....kudharau threads za wenzake kwa namna anavyoiandika post yake .......

6. .....kuchangia kila thread anayoiona imepostiwa....

7. .....kujibu hoja kwa mpangilio,honestly,passionately,empathetically na full of compassion...

8.......kuleta thread useful kwa JF members......

9.......kuleta thread pumba kabisa ndani ya JF.....
 
1. ....kupost thread nyingi.....

2. .....kuchakachua thread za wenzake....

3. .....ukorofi-korofi wakati anarespond kwenye posts ......

4. ....kuandika thread ndefu......

5. .....kudharau threads za wenzake kwa namna anavyoiandika post yake .......

6. .....kuchangia kila thread anayoiona imepostiwa....

wewe ndio wakwanza.
 
Kuna haja ya kulazimisha members kufanya justification ya maswali wanayouliza, like yeye binafsi ama jamii hii itanufaikaje kwa majibu yatakayotolewa humu!
 
hujajiona unakofit..basi watakuona wenzako..
 
1. ....kupost thread nyingi.....

2. .....kuchakachua thread za wenzake....

3. .....ukorofi-korofi wakati anarespond kwenye posts ......

4. ....kuandika thread ndefu......

5. .....kudharau threads za wenzake kwa namna anavyoiandika post yake .......

6. .....kuchangia kila thread anayoiona imepostiwa....

hapo kwenye no. 3 ni Lizzy,
na no. 4 ni Mchambuzi. Huko kwingine kwa kushikana uchawi, mimi siko tayari.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom