Watu wanaokukera hapa JF na watu wanaokufurahisha hapa JF

Saint Ivuga

JF-Expert Member
Aug 21, 2008
54,363
58,385
Happy new year guys.lazima kuna watu wanakukera hapa JF na wanaokufurahisha hapa JF wataje bila aibuuuu. :exception: naomba usiwataje hawa marafiki zangu hawa na Mola awape UZIMA,usiwataje ..REJAO,MALARIA SUGU,RITZ,FAIZA fOXY wengine wamwage bila aibu.unajua kwa nini nawaombea mola awape uzima?
 
Hao marehemu wa akili uliowataja huna haja ya kuwaombea uzima, waombee AKILI
 
Happy New yr Santi Ivuga... Hao uliowataja hapo hawaitaji maombi bali wanahitajika wapelekwe wakapimwe akili ili waanzishiwe dozi.
 
Happy new year guys.lazima kuna watu wanakukera hapa JF na wanaokufurahisha hapa JF wataje bila aibuuuu. :exception: naomba usiwataje hawa marafiki zangu hawa na Mola awape UZIMA,usiwataje ..REJAO,MALARIA SUGU,RITZ,FAIZA fOXY wengine wamwage bila aibu.unajua kwa nini nawaombea mola awape uzima?
Wee jifanye umetufunika, kumbe vile umewataja kiaina eeenh?
 
Mtu akukere kwani unamnunulia bubdle useme hatumii pesa yako vizuri?

Take the positive and leave the negative!!
 
Nakerwa na Wote wanaotunga story zenye lengo la kuwachafua Memba wengine, Nachukizwa na huwa nawashushia heshima wale wote wanaoleta Uongo na kuwatishia wengine kiasi cha kutishia Uhuru wa maoni JF.

Sitawataja kwa Majina ila wote wenye sifa hizo hapo juu nawaambia

Mwaka Mpya na Mambo Mapya, Ukiwa Mfitini au Mwongo ukiwa bado Kijana Ukizeeka Utakuwa Mchawi
 
Happy new year guys.lazima kuna watu wanakukera hapa JF na wanaokufurahisha hapa JF wataje bila aibuuuu. :exception: naomba usiwataje hawa marafiki zangu hawa na Mola awape UZIMA,usiwataje ..REJAO,MALARIA SUGU,RITZ,FAIZA fOXY wengine wamwage bila aibu.unajua kwa nini nawaombea mola awape uzima?

Lizzy! Nampenda sana huyu binti, watu dizaini hii kwenye public wana kelele sana, lakini kwenye bedtime issues huwa wanakuwa wadogo kama pyriton!
Marytina! Kaanza u lesbian na mimi hawa watu nawa mind sana! Huwa wana utamu wa kipekee!
Eltoro! Picha zake zinaleta raha na msisimko ndani ya maisha!
Dena Amsi! Mtoto wa kimbulu! Wa mbulu nawa mind sana kwa weledi wao wa kupangisha foleni wanaume!
Mamzalendo! Mmachame aliyetulia, japo kabila lao liko mbele kwenye kuwatengeneza waume zao kwa POLONIUM!
Mwanakijiji! Huyu sina la kusema saidi ya kumpa heshima, japo kuna mtu ali mu unmask humu!
Kongosho! Huyu huwa simsomagi kabisa! Hasomeki!

Happy new year 2012!
 
Back
Top Bottom