Watu wana vituko hapa duniani.

Madihani

JF-Expert Member
Apr 30, 2015
5,973
6,606
a5839052e343d4601b9c11f6548edb15.jpg
 
Hapo mzee katika home kaenda kulewa bila ya kuacha pesa ya chakula,na akirudi kutoka mataputapu yake anadai msosi!,mama humkomoa kwa kumfanyia hivyo.
 
Ukipewa hivi piga maombi ya nguvu... ukifumbua macho ni wali na kauzu swaafiii!... unamkaribisha aliekuwekea mle!...
 
Back
Top Bottom