Watu wa moshi mjini na vijijini vip majina ya sensa wamebandika?

pettymarcel

JF-Expert Member
Jun 17, 2012
2,161
879
Jaman tujuzane ndugu yangu maana nasikia dsm wao kimesanuka tangu jana vp watu wa moshi kila nikienda ofisi ya mtendaji hayupo tushirikiane kupeana taarifa katika hili
 
Nimeambiwa watatoa majina j4 sasa zoez c walisema litaanza j3? What happen jaman ebu tujuzane kwa wanaojua manspaa wanadai kuna mabadiliko yametokea ila hawajasema ni nini
 
Wamesema tuchek kwenye kata ze2 mkuu ndo najaribu kufuatilia kama wakibandka tutashtuana
leo naona pakavu mkuu, na kesho hawatakuwa kazini malegend wote, labda mpaka alhamis, tupeane taarifa wadau
 
Duu ebu tudokeze japo mkuu maana wengne ndo tunajipanga kwenda kuangalia
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom