"Watu wa Marekani'' kuchangia 7.5m ujenzi wa kituo UDSM inamaana ipi?

mosquito

Member
Nov 5, 2010
15
0
kama mlisoma magazeti mwanzoni mwa wiki hii balozi wa Marekani aliwakilisha cheque ya 7.5m na kisha kuongeza ''za kwake'' 3m kufanya mchango ufikie 10.5m. Kwangu mimi natafsiri kwamba wahisani waliona mchango aliohidi kutoa waziri mkuu Mizengo Pinda wa 10m baada ya kuelezwa matatizo ya elimu na miundo mbinu UDSM,sasa kama waziri mkuu wa nchi anatoa 10m kwa nini wao wajilipue na mabilioni? pili nadhani wahisani wameanza kunusa harufu ya ufisadi hapa nchini na hawatakuwa tayari kutoa fedha kimchezo mchezo.

naomba tafsiri
 
Hao wamarekani ni wezi tu, hizo pesa ni za wavuja jasho wa Tanzania wanazotuibia tunapokwenda kuomba viza tualipa Tsh laki mbili na thelasini, utashangaa wanakunyima visa bila sababu ili urudi tena wakulie pesa, wezi sana hawa haiwezekani huwacharge watu pesa zote hizo halafu unamnyima mtu viza kwanini wasiweke kiwango cha chini then ukipata visa ulipe hata fee nyingine za ziada, huu ni wizi na mungu ata walani sana.
 
Back
Top Bottom