Watu wa IT naomba msaada wenu.

dmaujanja1

JF-Expert Member
Nov 24, 2008
223
68
Wakuu msaada wenu unahitajika .Computer yangu jumamosi iliyopita ilikuwa inawaka inakupa kibox cha kulogin,ukisha login sometime inatokea blue screen au inaleta background screen peke yake bila icon hata moja na hata taskbar inakuwa haionekani.Nikaamua kuiformat PC yangu ikafanya vizuri kwa siku mbili ya tatu imerudi vilevile.
Ukilogin inaleta error massage ifuatayo "The instruction at "0x00390664" reference memory at "0x00930664".The memory could not be written. Click OK au CANCEL.
Ni kiclick OK au Cancel ndiyo inaleta hiyo blue screen au inaleta background screen peke yake bila icon hata moja na hata taskbar inakuwa haionekani.
Je nifanye vip nitatue hilitatizo?
Wakuu Lazy Dogy,Shy,Kang,Buswelu,JosM,Jua Kali ,YoYo ,Steve D na wengineo naombeni msaada wenu WA haraka tafadhali.
 
Operating systems gani? Na blue screen inaleta error gani?
 
Mkuu Kang ni wind XP sp2. hiyo error niliyoandika hapo juu ukiiclick ndyo inaleta hiyo blue screen au Background Screen bila icon yoyote.
hakuna erro nyingine inayotokea.
 
Last edited:
Mwanzoni uli format sidhani kama ilikuwa ni njia nzuri....huwa naita unproffesional...ila kwa sasa....unaweza ku repair window...mie nilipata tatizo kama hili nikalimaliza kwa repair...kama una WinXP sp3 weka na yenyewe.
 
Replace the RAM

Ni kweli kwa maelezo mafupi aliyotoa tatizo linahusiana na memory (RAM or HDD) na process ya memory access, Ram inaweza kuwa ni chanzo lakini inawezekana kuwa siyo pia, kwani inaweza kuwa ni tatizo la sectors katika hard disk (katika swala la kuwezesha virtual memory at startup). Au pia yawezekana kuna program (hususan a driver) ambayo inajichukulia madaraka ya kuaccess memory location pahala isipotakiwa hivyo inaleta conflict moja kwa moja na windows ku-halt.

Ningemwomba azidi kutoa maelezo zaidi kama ka-install hardware mpya au software yoyote kabla ya tatizo kuanza kujitokeza.
 
Mwanzoni uli format sidhani kama ilikuwa ni njia nzuri....huwa naita unproffesional...ila kwa sasa....unaweza ku repair window...mie nilipata tatizo kama hili nikalimaliza kwa repair...kama una WinXP sp3 weka na yenyewe.

Siwezi kui-dismiss na ku-trash formatting totally, kwani sometimes does work, especially kama tatizo linatokana na software. Ila kama tatizo linatokana na hardware then tatizo huweza kujirudia.

Wakati mtu ana install windows kuna prompt za mwanzo mwanzo kama option za "quick format" au "complete format", sometimes complete format does a better job kwa baadhi ya errors kwenye sectors ambapo quick format huwa inaziruka tu na kuziacha without attempting to correct. Na baada ya kufanikisha installation kama umetumia quick format tatizo hujirudia.
 
Wakuu msaada wenu unahitajika .Computer yangu jumamosi iliyopita ilikuwa inawaka inakupa kibox cha kulogin,ukisha login sometime inatokea blue screen au inaleta background screen peke yake bila icon hata moja na hata taskbar inakuwa haionekani.Nikaamua kuiformat PC yangu ikafanya vizuri kwa siku mbili ya tatu imerudi vilevile.
Ukilogin inaleta error massage ifuatayo "The instruction at "0x00390664" reference memory at "0x00930664".The memory could not be written. Click OK au CANCEL.
Ni kiclick OK au Cancel ndiyo inaleta hiyo blue screen au inaleta background screen peke yake bila icon hata moja na hata taskbar inakuwa haionekani.
Je nifanye vip nitatue hilitatizo?
Wakuu Lazy Dogy,Shy,Kang,Buswelu,JosM,Jua Kali ,YoYo ,Steve D na wengineo naombeni msaada wenu WA haraka tafadhali.

I must agree with someone above " running to format the machine is completely unprofessional".
Anyway try this...
login in a safe mode and see if you get the same problem. *** if yes go to the other steps, if not there must be some programs on a windows startup that couses the problem. So if it works well for you then just do a chkdsk /r and let the pc do the rest***

if that doesn't work then go again to safe mode but this time use the command prompt, i bet you won't get the blue screen there so do the repair from there *** if it loads ***

*******************
If everythin you tried and it still didn't work, then replace the ram
*******************

goodluck
 
You're an IT professional, someone not in the IT profession brings up a problem he/she encountered before you, but with your trained eye you refer to her/his struggle in solving the problem as unprofessional. Inakuwaje kuwaje mtu ambaye HAYUKO kwenye profession ya IT awe unprofessional kwenye hiyo hiyo fani tena?! Mithili ya surgeon umwambie mzazi wa mtoto mwenye fatal tumour - jinsi ambavyo angeweza kumtibu mtoto yeye mwenyewe.
 
Wakubwa thanx much naanza kufanyia kazi idea zenu then i will come back with feedback.
Thanx for support guys.
 
I must agree with someone above " running to format the machine is completely unprofessional".
Anyway try this...
An amateur is not expected to do things professionally. If you guys meant to say it is the wrong way to do it, I'm sorry to disagree with you.

OS re-install can be the easiest method for a layperson to do. It can save a lot of time and minimize the amount of headache that you may otherwise have to endure. It can also be cheaper. Imagine you only have one memory stick of RAM on the computer, the solution would have been to borrow one from a friend or buy one.

It is very difficult for a person who is not into IT thing to pick and follow instruction given on the Internet to successfully solve the problem (How many alternatives were given above?). I think only few will enjoy the challenge.
 
Mkuu jaribu hii program inaitwa memtest itaweza kucheki kama kweli ni RAM tatizo.
Kama unaweza kuingia Windows tumia hii: MemTest: RAM reliability tester for Windows inafanya kazi kutoka windows moja kwa moja.

kama hauwezi kuingia Windows basi tumia hii:
Memtest86.com - Memory Diagnostic
Download ile ya "ISO image for creating bootable CD" halafu ichome hiyo image kwenye CD, halafu inabidi u boot na hiyo CD, inafanya testing ya RAM.

Labda pia niongeze kuwa hiyo ya pili ndo bora zaidi kwa kuwa ukiwa windows kuna RAM inakuwa ishachukuliwa na Windows yenyewe so unakuwa hauwezi kuitest yote. Ila ndo hivyo inabidi uchome image kwanza.
 
Naomba nifikishe update za kazi niliyoifanya jana baada ya idea zenu wakubwa zangu.
1.Option ya Baba_Enock ya kuchange RAM niliamua iwe last option.
2. Nikachukua hatua alizotoa JosM nikaifanyia kazi na ya SnEafer pia.
Idea ya kufanya Complete format badala ya quicky format niliyopewa na Steve D sikuitumia maana niliambiwa niunprofesheno.
Mkuu Kang-Hayo uliyonitumia leo ntayafanyia kazi pia nipo na download hapa
Results ya kazi ya jana.
Baada ya kufanyia kazi option namba 2. PC iliwaka vizuri ila baada ya kulogin ilikuwa inaleta error massage hii "The application failed to initialize properly (0xc0000135)". Click OK to terminate the application.Niki click OK inafanya kazi vizuri na nikiplugin cable ya internet inafanya vizuri kabisa.
Wakati naenda Lunch nikaizima PC yangu hiyo. niliporudi from lunch nikaiwasha mashine ikarudi na error ile ile ya mwanzo kabisa wakati nawaandikia tatizo langu."The instruction at "0x00390664" reference memory at "0x00930664".The memory could not be written. Click OK au CANCEL.
Ni kiclick OK au Cancel ndiyo inaleta hiyo blue screen au inaleta background screen peke yake bila icon hata moja na hata taskbar inakuwa haionekani.

Nikachukua uamzi wa ku unplug internet cable kuiristart ikawaka fine ila tu ikaleta tena error massage ile ya awali "The application failed to initialize properly (0xc0000135)". Click OK to terminate the application.Niki click OK inafanya kazi vizuri na nikiplugin cable ya internet inafanya vizuri kabisa."
Je is there problem with my NIC au ndiyo nibadili RAM?
 
Ume repair window?
 
An amateur is not expected to do things professionally. If you guys meant to say it is the wrong way to do it, I'm sorry to disagree with you.

First understand the disadvantages of formatting your hdd all the time.
***the thing re-magnetizes the disk when the head formats it. It is worse for a drive to sit without power, as it can potentially demagnetize and result in loss of data.***
Thats what we want right? i mean it sounds more like advantage, but we forget that when doing that it also reduces the life pattern of your HDD.

I can give you a good example, for smokers, they tend to ignore the part that smoking would probably give them lung cancer in the future because they ar more satisfied with the advantages on the present.

No one ever said Surgery is a bad thing, but still all doctors would insist not to implement it before running out of options *** even if sometimes would be costly a bit ***

An amateur is not expected to do things professionally

There was a meaning for the person to ask here, because he knew that there were professionals here. So u can either answer him professionally or judge him.

OS re-install can be the easiest method for a layperson to do. It can save a lot of time and minimize the amount of headache that you may otherwise have to endure. It can also be cheaper. Imagine you only have one memory stick of RAM on the computer, the solution would have been to borrow one from a friend or buy one.

I believe its an easiest thing to do also, but would we all run to it and leave other ways that would educate you a bit on the way?.
I remember when we were imploying IT guys, admin would delete some system files and ask them to work on the machine, if a person runs to format then he/she would not be recommended for a job.

*** there are few companies that has very sensitive datas so formatting would be far from the last option.***

(How many alternatives were given above?)..

Yes the options were very few but still there are search engines out there that would let you search for the error code and if you ar lucky you could even get the support for it *** if its known ***

*****And steve i never said he was wrong to format, What you did its done, no need to do mistakes twice :D*****

cheers :D
 
Last edited:
Je is there problem with my NIC au ndiyo nibadili RAM?

Mkuu

...initially umesema kuwa uli-kwisha "format" na ku-reimage/re-load WinXP, right?

... that means, you have got to deal with "hardware issues"

1... hard drive (chkdisk!)

2... RAM (Kang: Memtest)

3... mainboard issues(Baba_Enock: you may need to take it to specialized IT person)

Have a nice day
 
Its a virus problem connect the hdd to other compuer having a good antivirus and scan he blue screen comes up is not a hadware problem but itts a virus which comes up as a screen saver
 
Back
Top Bottom