Watu wa haki za binadamu mnafanya kazi gani? Third year UDOM wanateswa jamani

Laurence

JF-Expert Member
Jun 11, 2011
3,104
420
Ukifika kwa sasa hapa ujionee utawaonea huruma,ni wanafunzi wa Social mwaka wa tatu wanawahakiki upyaaa yani ili wapate haki ya kurudi masomoni then mahali penyewe ni hapa jirani na Duwasa kuna uwanja wa mpira ni jua kali sana na kibaya zaidi inasemekana kesho ndio siku ya mwisho ya kuwahakiki na kibaya zaidi Jumatatu ya tar nne wanaanza UE so huku ni kukomoana ama nini? Na kibaya zaidi hawaangalii wewe unatoka mkoa ila kesho ndio mwisho mnalionaje wana Jf?
 
Kilichozungumzwa zaidi hapo UDOM ni kuwa, madai yao yalichocheiwa kisiasa. Inaonekana kinachofuata sasa ni kuwakomoa wale walioonekana hawaipendi magamba company watolewe kafara.
 
Nadhani wanatekeleza/almanac, hayo madai ya kukomoana kwa mlengo wa kisiasa sina uhakikanayo.
 
Nadhani wanatekeleza/almanac, hayo madai ya kukomoana kwa mlengo wa kisiasa sina uhakikanayo.
 
Back
Top Bottom