Watu wa GQ mko?

Mr Kayanza kanifurahisha ule mchuzi mix kaacha kuvaa,hii suti yako katoka safi tena hii sio ya mafundi wa kushonesha vibarazani.
attachment.php


Ok ok na mwanamama waziri mkuu wa umachinga katoka safi na kikuku mguuni.
 

Attachments

  • pinda_moza.JPG
    pinda_moza.JPG
    21.2 KB · Views: 345
Puffy naye kwa mbwembwe..Mapasnaa sometimes inategemea na nini iko hapo kushoto....
img_7.jpg
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom