Watu wa GQ mko?

GT,
Huyu babu naona huenda alikulia seminari.. na ukoloni umemkaa bara2!
Pia wako wengi tu wanaovaa tai wananuka jasho kama nini! Kwani ni % ngapi ya nyumba bongo kuna viyoyozi?
Kuwa nadhifu na kupendeza sii tu mitai... personally mimi sizipendi.

La kushangaza hata % kubwa ya viongozi Afrika bado wamekumbatia tai.. dont we have something African... so as just to identify us from others?

kupendeza na kuwa smart ni upako kuna watu wanatumia gharama kubwa sana ya mavazi lakini hawapendezi wala hawatoki smart
 
NN wachana na LV unaweza kuuziwa China sets bure ikamtoa bibie rashes....kwa nini usiende ukamchukulia Birkin? Alafu hiyo nyumbo imefanana na ya Ryan Cameron lol.

Duh wengine ata harufu ya bia hatuijui....

GT shades inategemea na shape ya uso wako favorites zangu ni
CrooksandCastlesXMosleyTribes.jpg

Shurti ujikune mkono unakofika, mambo ya kutaka Gucci Aviator Lens za 5,000 bucks si mambo.

Mjomba samahani lakini those shades look CORNY as hell...you cant dress DAPPER halafu ukavaa mawani wanazovaa WANUGU. They might be expensive lakini hazina class hata kidogo.

I would have expected watu ambao wanapendelea ma rappers wa South au ma Pimp kuvaa stuff like that.

Dint you know money cant buy you class?

Kwa sababu vitu RETRO vimerudi then why fanya mambo nusu nusu?

let me give you an example huyu mzee wa kanisa:
HarlemCross2.jpg

First of all looks like he is a deacon. He is charged, as a deacon, to wear a black suit, white shirt, black tie, on Sundays afterall inaonekana hapo ni kanisani.

You can best-well believe that this young man wouldn't be seen in anything less on the respective Sundays. He reminds me very much of the deacons in the church that many esp black Americans grew up in.

I'm sure that this youngster was no different. Some might disagree(kwa sababu ya tofauti za kidini) but its undeniable kuwa the church gave these men a sense of belonging and something to represent. It beams through their confidence and the way they don their duds.

HarlemCross1.jpg

You can't buy that kind of elegance, that posture of dignity and respect. Classy. Timeless style and elegance which is not for sale.

Mzee mwingine (hell i'll call him KIJANA) huyu hapa:

Sunday%27s-Best-1.jpg

He looks thoroughly dignified while still completely approachable. What I wouldn't give for an hour's conversation - and oh the stories he'd tell.

Sunday%27s-Best.jpg

This is what i call style! No brands, no trends pure form and taste.He has a world of his own.Wouldn´t it be wonderful to live a life of YOUR own-free from all the things that really don´t matter.

all in all...nilikuwa nakuaminia mchizi wangu lakini Not sure about those shades...they look cheesy,overpriced, blingy and not retro...considering whats hot now. I would imagine they would suit a rapper more than anyone but again each to his/her own...lakini as thread gos by nasubiri kuona choice yako nyingne ya viwalo then i might get the whole picture

Kama nilivyosema hapo awali I will stick with my retro shades...even Cruise had them back then
folding-wayfarer-sunglasses.jpg

raybans_wayfarers_2.jpg

so bro if you seriously wear those shades then naona hatutoweza kwenda kwenye out door society parties kama zile za polo and so forth

Up you game bra
 
kupendeza na kuwa smart ni upako kuna watu wanatumia gharama kubwa sana ya mavazi lakini hawapendezi wala hawatoki smart

narudia tena maneno niliyosema kuhusus huyo mzee....You can't buy that kind of elegance, that posture of dignity and respect. Classy. Timeless style and elegance which is not for sale.
 
Talking about wanazovaa wanugu angalia Ray Ban wayfare yako kazini yeah seen Chris Brown rocking them too.
33jgvhy.jpg
 
Nyani ngabu huyo bibie either hana taste au wewe ndio huna taste au wewe unataste sema umeamua kumfunika asijistukie

au tuseme she is not sophisticated enough

Nimekwambia mnunuele viatu vya MANOLO BLAHNIKS kisha mtazame ata react vipi

now kwa sababu she might not be sophisticated inawezakana asimjue hata manolo ni nani so you are bettter off kumnunua begi la hai ma dizaina wanaotangazwa kwenye bangano na magazeti na TV...yaani akian D&G,FENDI,LV na GUCCI

but dont be a simp....if se is not a keeper why spend all that money one her?
 
Manolo na Jimmy Choo viko league moja......wee vipi bana. Unakuwa kaa wakuja bana....ni kama vile Gucci na Louie....Nike/Adidas/ Reebok..
 
NN wachana na LV unaweza kuuziwa China sets bure ikamtoa bibie rashes....kwa nini usiende ukamchukulia Birkin? Alafu hiyo nyumbo imefanana na ya Ryan Cameron lol.

Duh wengine ata harufu ya bia hatuijui....

GT shades inategemea na shape ya uso wako favorites zangu ni
CrooksandCastlesXMosleyTribes.jpg

Shurti ujikune mkono unakofika, mambo ya kutaka Gucci Aviator Lens za 5,000 bucks si mambo.

Hapa huwezi kuuziwa knockoff....

lenoxNEW.jpg
 
Our dadazi sometime huwa full kuchemka....yaani ni copy and paste from majuu nakuja kutuvalia uswazini kwetu.Ila hii remix kiboko babake tehe tehe
attachment.php

Huyu tumsaidieje?
 
Attachments

  • Image009.jpg
    Image009.jpg
    121.1 KB · Views: 154
Ndio matatizo ya swagger jacking hayo....

See...I got my own swag but GT think I have no taste...sasa sijui anataka ni jack swagger ya mtu na ukifanya hivyo haya ndio matokeo yake...tehehehehe
 
Ndio matatizo ya swagger jacking hayo....

See...I got my own swag but GT think I have no taste...sasa sijui anataka ni jack swagger ya mtu na ukifanya hivyo haya ndio matokeo yake...tehehehehe
 
Talking about fake stuff, umenikumbusha kuna siku Rashan Ali alikuwa anaongea na wenzake akasema kuwa anaown fake LV hand bag she went on saying kuwa unatakiwa kuwa unajua style ili watu wasishtukie.
 
Talking about fake stuff, umenikumbusha kuna siku Rashan Ali alikuwa anaongea na wenzake akasema kuwa anaown fake LV hand bag she went on saying kuwa unatakiwa kuwa unajua style ili watu wasishtukie.

Hizo fake Louie mbona ziko kibao tu. Kuna demu mimi namjua anayo moja lakini hadi akwambie. Asipokwambia utadhani ni real mccoy kumbe wapi. Kwa hiyo mazee siku unaenda zako Dreamz Atl na kuona totoz zimebeba Louie na wewe ukadhani ni Louie kumbe ni kanyaboya tu
 
Du,
1. Mie sijui naonaje Bongo joto kali kama nini basi Mtu amevaa mitai, na suti.. yaani mimi hainingii akilini!

2. Hivi ule mchakato wa kupata vazi ya heshima la Taifa wandugu uliishia wapi?

Smartness has no weather!
 
Ijumaa wewe na demu wako mkishatoka gym, si vibaya ukamtoa na kumpeleka kwenda kula sehemu kama hii..

ambako mtajichana milo kama hii...

Na kuteremshia na vinwaji kama hivi...

winebottles.jpg

au hivi.....
top_39_4.jpg

Halafu baadae mnarudi nyumbani......

Do you practise what you preach in here NN?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom