Junius
JF-Expert Member
- Mar 11, 2009
- 3,181
- 139
...anaitwa Abdallah Kassim Hanga, ambaye Nyerere alimrubuni Sekou Toure amrejeshe kwa kumhakikishia kuwa hatamdhuru, matokeo yake (kama Mobutu alivyomkabidhi Lumumba kwa wauwaji wake) ndiyo hivyo hivyo Nyerere alimkabidhi Hanga na Othman Shariff kwa Karume,akawanyonga na mapaka hivi ninvyoandika makaburi ya wazalendo hawa hayajuulikani yalipo. Kibaya kuliko yote ni kuwa Hanga kabla ya kupelekwa "kwa Mandera au kwa Bamkwe" (gereza la mateso na mauwaji kule zanzibar enzi za Karume) alimdhalilisha hadharani na kumwita msaliti, licha ya Wazee wa Iringa kule kumsihi na kumpigia magoti Nyerere wakimtaka asiwapeleke Hanga na Shariff kwa Karume, Nyerere hakusikia la muadhini wala mteka maji msikitini, aliwapeleka na Karume akawanyongelea mbali. zidumu fikra zake!!!!Leta picha
=======
na yule jamaa mweingien wa Zanzibar aliyekimbilia Guinea Bissau halafu akarudi na kunyongwa (sikumbuki tena jina lake kwa vile kasahaulika kabisa)