Watu Mko Wapi?

Safari_ni_Safari

JF-Expert Member
Oct 5, 2007
23,268
17,097
Nimewasubiri hapa Counter hamtokei...kulikoni vitu visahpoa hapa!

Mr_Conga_Granite_bar_counter.jpg
 
Shida ya mahali kama hapa wenyewe hawapati zile za kibongo kama POWER, VALUER,na konyagi pori!..ndo mana hutoona mtu hapo!
 
Ha ha ha - tutapita hapo kwa sasa tupo hapa tayari tunamsikiliza Rais wa nchi kwanza. kuwa na subira mkubwa we angiza mbili za fasta ukate kiu.
 
Shida ya mahali kama hapa wenyewe hawapati zile za kibongo kama POWER, VALUER,na konyagi pori!..ndo mana hutoona mtu hapo!

hapo unapata vyenye sir names tu....kina johny walker, remmy martin, jack daniel, glen morangue na wengineo wengi
 
Shida ya mahali kama hapa wenyewe hawapati zile za kibongo kama POWER, VALUER,na konyagi pori!..ndo mana hutoona mtu hapo!
hapo mkuu unapiga vitu Gin.....kwa kupimiwa halafu ghaliiiii!
Sisi tumezoea unanua lichupa lote unakamua, ikibaki unaweka chini ya seat ya gari unachapa mwendo,
 
niko huku bize kumpigia dk slaa kampeni na kuwahamasisha vijana wenzangu kuchukua hatua jumapili kwa ajili ya mabadiliko,huko ntakuja baada ya kuapishwa shujaa wetu kwa ajili ya kusherekea ushindi,hope mtaungana nami
 
Agiza nakuja fasta.......make sure umenunua alter wine ili wanyunyize kwenye mdudu wakati wanakaanga.

kila kitu kipo kama kilivyopangwa...halafu uwe makini usije ukananii baby walker za watu huko barabarani kwa haraka ya kuwahi....uje polepole
 
Back
Top Bottom