Watu kuuana kijiji cha endamana wilayani manyara,polisi wanatakiwa kulaumiana

kinganola

Senior Member
Aug 16, 2011
117
30
Ni siku chache tu zimepita Tangu wana kijiji wa Endamana wilayani Manyara walipo amua kutembeza msako wa boma kwa boma kukamata wapika Gongo,zoezi lilifanikiwa lakini chakusikitisha,jamaa wameamua kulipiza kisasi na kumuua kiongozi za zoezi hilo,Wana nchi wamekuja juu tena na kuchoma moto nyumba za watu wanao watuhumu kuwa ndo wauwaji.Sasa mi najiuliza,Kazi ya polisi ni nini,mpaka wananchi wana amua kusaka wapika Gongo,ni kwamba Polisi imeshindwa kazi.Mbaya zaidi walipo wakamata watuhumiwa,wakawatoza faini ya ng'ombe na Polisi ikaliona hili,sasa wameuana ndo mnakwenda,mnakwenda kufanya nini?
 
Ile habari imesikitisha sana...Wananchi hawana tumaini tena na polisi!
Wangepewa wao kazi ya kuwasaka wapika gongo, hakika asingekamatwa mtu!
 
Watawezaje kulinda raia na wakati wote wamekusanyika hapa Arusha mjini wasubiri CDM wafanye mkutano ndiyo waonyeshe umahiri wao? Lakini ninachoweza kusema kama raia wa kawaida ni kwamba hatuna police kwa jamii ya Watanzani tena ila wako police wa sisiem ila tumwobe MUNGU ambaye si JK atupe afya njema halafu hawa police wao wanaopenda ku2mia k**n**e siku si nyingi watawarudi hawa magamba wenyewe. Mi nikisikia hbr kama hz natamani sana Ukombozi ufike tu.
 
Back
Top Bottom