WAtu Kufa Kwenye Ajali za Majaribio ya Umadhubuti wa Vyombo vya Uokozi

IshaLubuva

JF-Expert Member
Dec 4, 2008
250
11
Hivi karibuni kumekuwa na matukio ya kufanya majaribio ya kuona ufanisi wa Vikosi vya Uokozi kwenye majanga mbalimbali yanayotokea kwa kuanzisha ajili za makusudi (au ishara za ajali). Mathalan, jana kwenye Taarifa ya habari ya ITV kulikuwa na habari ya kutokea ajali ya ngege Mkoani Mtwara lakini mwishoni mwa habari hiyo ilielezwa kwamba ajali hiyo ilifanywa makusudi kwa lengo la kupima ufanisi wa vikosi vya uokozi.

Maswali langu ni je, iwapo itatokea watu wakafa je hilo siyo kosa la kuua kwa kukusudia?; Ni nini haki ya mtu ambaye anaathirika (iwe kwa kuumia, kufa au mshituko) na vitendo hivyo?

Tafadhali wataalamu wa sheria mnifafanulie
 
Back
Top Bottom