Watu kama Mufti Issa Bin Simba wanaruhusiwa?

Status
Not open for further replies.
nijibu swali la msingi, nitajie ni nchi ngapi duniani zinaongozwa na mashehe?

sikia mkuu, mimi pia muislam, lakini kamwe siwezi kuyumbishwa na siasa hasa siasa za CCM, kwangu mimi siasa na dini ni sawa na malaika gabriel na ibilisi.
Mkuu, mimi sio Mkiristo wala Muislam, mimi Mpagani
 
Naendelea kuwaza nitaweka wapi uso wangu nikikutana na Muft kwa jinsi alivyochemka issue ya Mama Kimaro! Kumbe ni mfuga Kiti's na tena aliihasi dini!
 
kwa mujibu wa katiba yetu kila mtu ana haki ya kuchagua dini anayoitaka mwenyewe na pia kuchagua chama anachooa kinamfaa... mtu yeyote kutoka katika chama kilichosajiliwa na kinachotambuliwa na mwajiri wa vyama anawez kuteuliwa na chama chake kugombea urais wa nchi.
 
Sijui ni kifungu gani kwenye katiba huwa kinasema SERIKALI HAINA DINI. Lakini viongozi wa dini wabaki kuongoza dini na siasa ibakie siasa. Kwa issue ya Dr. Slaa alishajiondoa kwenye kanisa ndio maana hata anapokuwa kwenye shughuli zake huwa hajitambulishi kama padre. Ezan tafuta neno zuri hili lina ukakasi.
 
Ebu nitajie nchi gani Dunia Rais wake ni Padre?[/QUOTE]

Vatican (no need who to mention), Paraguay (fernando Lugo) and Haiti (jean Bertrand Aristide). Ingawa si wote ni marais mpaka leo.

Sasa sema what is you motive behind the question?
 
  • Thanks
Reactions: LAT
Hivi.. Nyerere alikuwa Mwalimu wa Tanzania au Rais wa Tanzania.. unadeplore vipi tafsiri kuhusu uongozi na alichokisoma mtu? .. wote hao Pengo, Mufti, whatever maaskofu or masheick they are, no matter how old-what religion they are.. wanafaa kuwa viongozi, manake katika Uongozi hata wa kikundi cha ujasiamali watu hawaingizi dhima ya walichosomea bali hufuata kanuni, Sheria na taratibu walizojiwekea. Na nchi Inaongozwa na Sheria, kanunu na Taratibu.. Kiongozi ni kuzisimamia kwa Uadilifu kanuni hizo ambazo wananchi wenyewe wamejiwekea Kupitia Katiba Yao, na akienda against na katiba, basi katiba yenyewe inamng'oa. Tuache Uchochezi wa Kidini pasipo mantik unaotugawa kila mchao..Big UP TZ
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom