watu kama hawa hawatakiwi kwetu zanzibar

figganigga

JF-Expert Member
Oct 17, 2010
25,492
54,890
pict0618.jpg

Mia
 
Hata kama hatuja endelea lakini hili ni baaab kubwa. Hata Europe atashtakiwa na SPCA.
 
Kwetu ZNZ tumawatafuta sana huwa tuna wauzia libya sudan somalia na uarabuni kama unao kumi somalia wanawataka sana
 
ila wazenjibari wanakosa uhondo...jamani hii kitu ya mgongoni huko ukiikuta imekaangwa na kurostiwa na ndizi choma pembeni na ka pilipili kwa mbaaaaali!!! wale wenzangu na mimi wanajua nazungumzia nini..... ila wale wenzangu na mimi toka pande za wazenjiBARA ambao imani sio kali kiivoooo huwa tunapigapiga nao kimtindo, sema wanatakaga vichochoroni wasionekane...
 
Songíto;3104309 said:

Aisee kweli wanakosa uhondo kuliko hata wale ma-padri ambao hawaruhusiwi kuoa?!
 
Back
Top Bottom