Watu ambao dunia haitawasahau

Jean Claude (Van Damme).

Jean-Claude-Van-Damme-as-a-kid.jpg

kickboxer.jpg

1978661,5s+U_1kiizYV5BC4K79OPJ21+riOIXBmJCHhiJVpQHMDEDoSmEGhpuXnaCo2oHz9BPCPu5R+sLa5+H6B3Y6U7g==.jpg

jean-claude-van-damme-predator.jpg

Zan-Klod-Van-Dam-7.jpg
 
Barracks Obama shujaa. Mswahili kuingia white house sii kazi ndogo.
Hana uswahili wowote yule ni mmarekani. Kwanza kiswahili wala local language yake haijui, anaijua miji na siasa ya marekani kukiko uswahilini. Yule sio mswahili
 
Joshua mrithi wa Musa,,,,,baada ya kulisimamisha jua ili apigane vita,,,,,,
Haijawahi tokea baada ya tukio hilo.
Sijawahi kusikia kuhusu hili mkuu,nimetamani kumjua huyo Joshua zaidi.
 
Barracks Obama shujaa. Mswahili kuingia white house sii kazi ndogo.
Huyu ni Kiboko yao, kila wanavyojaribu kumdhoofisha wanaishia kupata aibu,Wanaonekana uhalisia wao!! Ubaguzi wa Rangi unaonekana, Nilimsikia Mmarekani mwenye asili ya Afrika Ben Carson akimbagua Obama kuwa sio mweusi, huku weupe wakimuona kuwa sio Mmarekani.Hakika huyu ni shujaa atakayekumbukwa.
 
Sijawahi kusikia kuhusu hili mkuu,nimetamani kumjua huyo Joshua zaidi.
The Sun Stands Still
(JOSHUA10: 12-13
12Then Joshua spoke to the LORD in the day when the LORD delivered up the Amorites before the sons of Israel, and he said in the sight of Israel, "O sun, stand still at Gibeon, And O moon in the valley of Aijalon." 13So the sun stood still, and the moon stopped, Until the nation avenged themselves of their enemies. Is it not written in the book of Jashar? And the sun stopped in the middle of the sky and did not hasten to go down for about a whole day. 14There was no day like that before it or after it, when the LORD listened to the voice of a man; for the LORD fought for Israel.…
 
Eeeeh bwana eeh?
Haya asante,nimepata kumsoma japo kiufupi.
Maana nilitamani kumjua zaidi.
Nimepata mwanga sasa,nitatafuta hili kivyangu.
 
Duu umenikumbusha mbali sana MC hammer na ngoma yake ya ice ice baby na ile nyingine ya have you seen her?
Nimeangalia kwenye mitambo yangu inaonesha MC Hammer You can't touch this, bila shaka ulimaanisha You can't touch this na Have you seen her, na si ice ice baby.

Ngoja niziweke hapa chini kwanza uzisikilize
 
Back
Top Bottom