Watu ambao dunia haitawasahau

PEZE

Member
Mar 9, 2013
65
7
Binafisi naamini hapa duniani kila mtu anajambo alilowahi kulifanya na kupelekea jamii yake kubaki ikimkumbuka daima.

Jambo linaweza kuwa jema au baya,lakini bado atakumbukwa kwa hilo.binafsi kwa hapa tanzania ukitoa baba wa taifa anayefata kwa sasa ni Ngoyai LOWASA, ndugu huyu katuonesha kwa vitendo anavyoweza kujisimamia mwenyewe katika kila kitu.

Tuachane na hapa kwetu, je unajua kina hitller ,musolin,dagama,newton,faraday,erenest eisday,laberty ni baadhi ya mashujaa wa hii dunia?

Naomba muniongeze wengine ambao dunia inawatambua,na matukio yao.
 
Last edited by a moderator:
Kuna wanasiasa
Nelson Mandela
Jk Nyerere
John F Kennedy
Magreth Thatcher
Barrack Obama
Fidel Castro

Kuna Madikteta na Magaidi
Hitler
Mussolini
Osama
Mullah Omar
ccm
Osama alikuwa/ni mtu mzuri muungwana sana, ila wale wa kupindisha ukweli ndio waliotaka kutuaminisha upuuzi wao

Watuambie chanzo hadi kuonekana ni Gaidi kama walivyompachika ni nini !?
 
Back
Top Bottom