Watu 40 wa Uamsho wapelekwa Korti leo

abdulahsaf

JF-Expert Member
Aug 31, 2010
858
130
Mahoijiano ya Redio ya Ugerumani na Kamanda wa Jeshi la Polisi

BONYEZA REDIO
AUDIO | DW.DE

moto1.jpg


091105003223_kenya_election_violence386.jpg

Waumini wa Kiislamu mjini Zanzibar walikuwa wanaendesha dua ya kuwaombea waliopoteza maisha katika ajali ya meli ya MV. Skagit iliyotokea wiki iliyopita, lakini polisi inasema walikuwa waumini hao walikusanyika kinyume na sheria na hivyo kusababisha vurugu katika mitaa ya Unguja mjini. Amina Abubakar amezungumza na Kamanda wa Polisi wa mkoa wa Mjini Magharibi, Aziz Juma Mohammed. Kusikiliza mazungumzo hayo, tafadhali bonyeza alama ya spika za masikioni hapo chini.
Mwandishi: Amina Abubakar
Mhariri: Othman Miraji
 
mahoijiano ya redio ya ugerumani na kamanda wa jeshi la polisi

bonyeza redio
audio | dw.de

moto1.jpg


091105003223_kenya_election_violence386.jpg

waumini wa kiislamu mjini zanzibar walikuwa wanaendesha dua ya kuwaombea waliopoteza maisha katika ajali ya meli ya mv. Skagit iliyotokea wiki iliyopita, lakini polisi inasema walikuwa waumini hao walikusanyika kinyume na sheria na hivyo kusababisha vurugu katika mitaa ya unguja mjini. Amina abubakar amezungumza na kamanda wa polisi wa mkoa wa mjini magharibi, aziz juma mohammed. Kusikiliza mazungumzo hayo, tafadhali bonyeza alama ya spika za masikioni hapo chini.
Mwandishi: Amina abubakar
mhariri: Othman miraji
haya ndo mambo serikali ya jk....(na magamba kwa ujumla) wanayoyaweza
 
Hakika hakuna dhulma yenye kudumu. Kila kitu kina mwisho.

Nafikiri jeshi la polisi linataka kujikosha na kuwababambikizia kosa ambalo mwisho wake huko mahakamani ni kushindwa kuthibitisha madai yao na wananchi kuachiwa.

RPC nafikiri angejiuliza. Hivi yupo wapi George Kizuguto (aliyekuwa RPC mjini magh'ribi enzi hizo)?
 
Back
Top Bottom