watu 32 wanashikiliwa wakihusishwa na mauaji ya mwandishi

taratibu mkuu. wamesema eti swala linachunguzwa na polisi akiwemo mkuu wao. mia

Haiingii akilini, mauaji wayafanye wao, halafu wao wao watuundie tume ya kuchunguza mauaji!
Chagonja naye akili yake fupi kama pua yake! eti anadai marehemu alitupiwa kitu kizito, na wanachunguza kujua ni kitu gani!
Inakera sana, inasikitisha sana, inaudhi sana, inaumiza sana, inahuzunisha sana! sina maneno mengine mazuri ya kuwakilisha hisia zangu zaidi ya haya maneno!
SHAME ON SAID MBAYA (aka MWEMA).
SHAME ON KIKWETE
SHAME ON CCM!


Wasidhani kuwa wanayoyafanya yatakisaidia chama chao cha majambazi, kumbe ndiyo wanakiangamiza na kuongeza hasira kwa wananchi!
 
hivi polisi kweli wana akili au wanaota yaani polisi anafatua bomu mbele ya michael Kamhanda RPC mwenye sifa ya uaaji nchini Tanzania sawa na Selemani KOva halafu wanataka kuficha ukweli kwa kusingizia watu wengine kwenye nchii hii inaongozwa na kichaa na BBC siku hizi imepoteza credibirity tangu Tido aondoke limekuwa chaka la propaganda la chama cha mabwepande


Na mimi nimeliona hilo. Moja ya raha ya kutawala TZ ni kwamba hatuongei lugha ya kimataifa kama Kiingereza, Kifaransa, Kispanolo nk. Mambo yetu tunafanya kwa kiswahili, ambacho hakieleweki kwa watazamaji wa kimataifa.

Nashangaa sana watu wanaosifia hii hali ya kutumia Kiswahili kuendesha nchi
 
nimekuelewa. lakini unakomaa sana kama mshabiki wa simba. je katika nilicho liport kuna sehemu nimedanganya au uliyo yaskia ndo nimebandika? pole sana kwa kukukwaaza. mia

habari yako ipo sahihi kabisa,tatizo ni chanzo chako,tupo pamoja kamanda
 
Kuna kila dalili wananchi wanaobebeshwa mizigo ya lawana hizi watachoka na kuamua kupapambana na mtu/watu wanaowabebesha mizigo hii ya lawana.
Saa ya ukombozi yaja...
 
Hii muvi inastahili... ''OSCAR"

WATANZANIA WENZANGU TWENDE NA TUPELEKE WATOTO WETU SHULE..

Tatizo hapa ni shule tu.


TUZIDISHE MAOMBI NA SALA
 
hivi polisi kweli wana akili au wanaota yaani polisi anafatua bomu mbele ya michael Kamhanda RPC mwenye sifa ya uaaji nchini Tanzania sawa na Selemani KOva halafu wanataka kuficha ukweli kwa kusingizia watu wengine kwenye nchii hii inaongozwa na kichaa na BBC siku hizi imepoteza credibirity tangu Tido aondoke limekuwa chaka la propaganda la chama cha mabwepande

Nikwamba ulikosea kwakuwa na hasira ukiazimia kusema TBC ama unamaanisha BBC yenyewe kabisa idhaa ya kiswahili?
 
katika moja ya vitu ninavyokuwa navyo makini zaidi na kuvipa uzito ktk dunia hii ni kauli zinazotolewa na viongozi au watu walio katika nafasi za juu katika mfumo wa utawala..........katika kauli ambayo ilinipa utata na kujua tabia za jeshi letu, ni siku Mkuu wa zamani wa makosa ya jinai DPP Abdallah Zombe aliposhinda kesi yake na kusema "Polisi iache tabia za kubambikizia watu kesi" ...kwa kauli ya huyu jamaa mm sishangai kwa Haya matukio ya kuwabambikia raia kesi
 
hao wauwaji wanataka kutunga story gani ya kutudanganya wakati wameshachelewa sana
 
hao wauwaji wanataka kutunga story gani ya kutudanganya wakati wameshachelewa sana

Maneno hayataisha, wanaweza kusema hivi; Kuna wafuasi kadhaa wa Chadema waliletwa na Sugu kutoka Mbeya, wakapewa mabomu ya kurusha ili wawauwe either polisi wakija kuwatawanya au mwananchi yeyote wamlipue ili wawachonganishe Raia na Polisi. Sasa baada ya uchunguzi tumegundua kwamba, mwandishi huyu wa habari alikuwa anashabikia CDM ndio maana Polisi ilimkamata kama mfanya fujo mwingine tu halafu bomu halikutupwa na askari polisi bali kutoka kwa mwananchi aliopandikizwa.
VIPI, HII STORY HATUTAIKUBALI?
 
Nilidhani polisi 32 wanashikiliwa kumbe ni raia, hii nchi imekwisha. Pamoja na picha kuonyesha kama jamaa alikuwa naomba msaada kwa sijui OCD au ndo RPC mwenyewe na askari kumftulia bomu tumboni, hao BBC hajaona hiyo nakuuliza maswali kwa huyo msemaji? Subirini kidogo watashtakiwa watu ambao hawajahusika na Kova atawaambia jambo hilo liko MAHAKANI. Halizungumziwi.
 
Hao watu ni sawa na mkenya wa kova. Ila wamesha chelewa na picha za tukio tunazo.
 
Mods, najua matusi adhabu yake ban. hawa polisi wa tanzania wanastahili kutukanwa bila kupigwa ban kwa mtukanaji.
Wanauwa wao, kisha wanawasingizia watu wasio na hatia.
 
Twist and turns as usual lini tutakuwa makini na kuwajibika kwa mambo tunayoyafanya hizi ni sarakasi za wazi bila kificho jeshi letu limepoteza ile heshima yake limekuwa kama genge la wahuni likisuburi amri ya kuua raia wake huku kodi tunazokatwa zikitumika kuwalipa mishahara yao na posho za kuunda tume zisizo na miguu wala maana yoyote zaidi ya viini macho,sijamskia kamanda Chagonja maana kwa kutoa ***** namkubali.Hivi dr.Uli naye ndo kishanyamazishwa kimtindo maana alikuja na makeke ya kusema ukweli naona kimya kimetanda ila ndivyo tulivyo wabongo.
 
Back
Top Bottom